Hili bifu kati ya madaktari na polisi itafikia hatua askari akienda hospitali hajitambulishi kuwa ni njagu maana anaweza kupigwa sumu. Polisi jiangalieni sana, mnaapenda sifa lakini zamu yenu ikifika na ukajikabidhisha kwa daktari itakula kwako. Mtafanyiwa operation bila ganzi...