Kimenuka wapi? FFU wamepita hapa Tazara na gari tatu na la maji ya kuwasha

Tulipofikia ni pabaya sana!!!

Sijui tutaishi vipi na ikiwa wenzetu wakiugua wanakimbilia India!!!!



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Wekeni picha ya askari huyo aliyekuwa akipokea kichapo,ni veme wangelisogeza maumivu kama waliyompatia dr Ulimboka
 
Yaani hii nchi! Ffu wakionekana tu wamepita wananchi wanajua kimenuka mahali! What a way to lead and rule kwa pamoja!
 
radiocall yao inafatwa kwa defender,daktari wetu hata kumfikisha dispensary walishindwa.....
 
wengi ni wajasiri kwenye kubofya tu,yoooooooote yaliyopo moyoni kwenu,na unafiki wenu unaonekana bado ni waoga wa hali ya juu kujitokeza!jitokezeni na mabango tuwajue!ili mpewe haki zenu!
 
Yaani hii nchi! Ffu wakionekana tu wamepita wananchi wanajua kimenuka mahali! What a way to lead and rule kwa pamoja!

Tumetoka kwenye udanganyika kuwa polisi niwalinzi wa amani kwa wote sasa tukiwaona tunajua wamepewa amri kutoka kwa magamba na habari za intelejensia.
 
Hivi zinapatikana wapi RPG zile kama za alshabab, hand held Grenade

rusarms_0075.jpg


au

1.jpg
 
Huyo askri ni dhaifu Kama raisiii wake
Radio call mbona ni toyiii ,ingengekua ile
Ngege usiyokuwa na rubabani imepotea);
**** wadanganyika
 
Back
Top Bottom