Kimenuka wapi? FFU wamepita hapa Tazara na gari tatu na la maji ya kuwasha

Dhaifu, dhaifu, dhaifuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Tatizo wanafikiri kwa ****** na sio Ubongo..... Hatushangai wanatumiwa kama Mbwa kuwinda... Ana ambiwa shika akishika ana ambiwa achia halafu mwisho wa siku ana ambulia utumbo tu.
 
Hili bifu kati ya madaktari na polisi itafikia hatua askari akienda hospitali hajitambulishi kuwa ni njagu maana anaweza kupigwa sumu. Polisi jiangalieni sana, mnaapenda sifa lakini zamu yenu ikifika na ukajikabidhisha kwa daktari itakula kwako. Mtafanyiwa operation bila ganzi...
 
Nimeipenda hii.
 
punguza pombe yako naona imekuwa kali zaidi kama jina lako(Pombekali) naona umepishana na fire akili yako ikakupa kuwa ni f.f.u mbona kote shwari,au ni kiwewe tu!

Mkuu pombe yangu hainichanganyi hata chembe,fire nawajua na FFU nawajua pia. Wadau wamenijibu kuwa kuna walikuwa wanaenda kutafuta radia call yao muhimbili,nimeamini kweli ni wawajibikaji,yaani kutafuta radio call ndo wanaenda na defender tatu na la maji ya kuwasha!
 
radiocall yao inafatwa kwa defender,daktari wetu hata kumfikisha dispensary walishindwa.....

ikiwa wamefanya wao watajizungusha hata kutoa matokeo ya uchunguzi uliotengenezwa, ila ingekuwa mtalii ameuliwa hadi helicopter ingehusika.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom