Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,286
- 271,519
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba siku ya wanawake ya Dunia siyo shughuli ya Kisiasa Wala si sherehe ya COM ama si mali ya TANZANIA ama viongozi wake
Hii ni siku ya Dunia isiyochangamana na masuala ya itikadi za vyama.
Kwahiyo Katazo la Polisi wa com limedhibitiwa n.a. kupuuzwa, Chadema imetangaza kuendelea n.a. maandalizi bila wasi wasi n.a. wanawake wote wanaelekezwa kuhudhuria kwa wingi.
Ugomvi wa vyama vya sasa ni Ujinga-Nchimbi
Nakala: Donald Trump
=====
Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) limetangaza kuwa litafanya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2026 mkoani Mara katika Jimbo la Musoma kama ilivyopangwa awali.
Akizungumza na Jambo TV Machi 1, 2026, Mwenyekiti wa BAWACHA, Sharifa Suleiman, amesema maandalizi ya maadhimisho hayo yanaendelea na wana matarajio ya kufanya shughuli hiyo bila bugudha yoyote licha ya zuio lililotolewa na Jeshi la Polisi.
Kauli hiyo inakuja kufuatia taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara lililowataka viongozi wa BAWACHA kusitisha mpango huo, likieleza kuwa kuna amri ya mahakama inayokataza chama hicho kufanya shughuli za kisiasa hadi shauri lao la msingi litakapomalizika.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Pius Lutumo, alisema Jeshi la Polisi linaendelea kutekeleza amri hiyo ambayo haijatenguliwa na kuonya kuwa ukiukwaji wake unaweza kuchukuliwa kama dharau kwa mahakama.
Pia soma Polisi wapiga marufuku CHADEMA kuadhimisha siku ya wanawake