Kimenuka Nyamongo. Vijana Hawataki Kusikia Habari za Mbowe

Acha uongo we gamba,wakati hapa nyamoongo ni kampeni kwa kwenda mbele ili lowasa awe raisi wa wtz
 
Raisi ni LOWASA .vumilieni kidogo ndio demokrasi.ccm mkapumzike jumba la makumbusho.sisi ni utawala wa sheria hivyo acheni hofu.Lowasa hoyeeeeeeeee!!!
 
alichokifanya mbowe alizani ni chakishujaa kuwapuunza wenzake wote akizani kua yeye ndo yuko sahihi kuliko wengine wote. Yatamtokea puani baan ya octoba atakapopigwa tobo na utakua ndo mwisho wa chadema kama chama kikuu cha upinzani. Chadema hii ya Lowasa imekua ni chadema yakuchechemea huku ikikazana kujishafisha kwa wananchi kwa makosa ambayo yamekuja kutokana na tamaaa za mbowe.

Magufuli pigana hawa wengine waache wajikaange kwa mafuta yao wenyewe.

Nipo Nyamongo tangu jana hadi hivi leo. Ninaandika nikiwa huku mahali na sijaona chochote kinachohusiana na Mbowe. Nilichokisikia ni lawama kwa Mkapa kwa kuuza mgodi pasipo kuwafikiria wananchi wa vijiji vinavyozunguka mgodi. Wanalalamikia kwamba hawana ajira, na wakenya ndiyo wamechukua ajira zote za kwenye mgodi. Watu wanyamongo wamemdharau Slaa na wanafikiria habari za kubadilisha uongozi. CCM acheni kufanya cheap politics. Jaribuni kuwa serious na seriuos business.
 
teh teh teh naona maigizo tena yale ya zamani ya pwagu na pwaguzi yanaendelea chini ya Mzee Jangala. Mtahangaika weee lakini Lowasa ndio Rais wa awamu ya Tano.

sahau nchi hii kuingia mikononi mwa mafisadi tena ,,tumeishapata nyerere mwingine basi,

Nipo Nyamongo tangu jana hadi hivi leo. Ninaandika nikiwa huku mahali na sijaona chochote kinachohusiana na Mbowe. Nilichokisikia ni lawama kwa Mkapa kwa kuuza mgodi pasipo kuwafikiria wananchi wa vijiji vinavyozunguka mgodi. Wanalalamikia kwamba hawana ajira, na wakenya ndiyo wamechukua ajira zote za kwenye mgodi. Watu wanyamongo wamemdharau Slaa na wanafikiria habari za kubadilisha uongozi. CCM acheni kufanya cheap politics. Jaribuni kuwa serious na seriuos business.

nani kakutuma wewe na kwanini hampendi ukweli na ndo maaana kiongozi furani juzi hali yake ilikuwa mbaya songea na hata ilo mnabisha,ni kweli vijana walikuwepo ila haikuwa shida sana na walikuwa wastarabu mno,

acha uongo wewe,
 
Raisi ni LOWASA .vumilieni kidogo ndio demokrasi.ccm mkapumzike jumba la makumbusho.sisi ni utawala wa sheria hivyo acheni hofu.Lowasa hoyeeeeeeeee!!!

unaota uchana amka ,lowasa awe rais ili vitaru vya gesi wachukue wanaomchangia pesa imekura kwenu ,magufuli ndo rais wetu
 
unaota uchana amka ,lowasa awe rais ili vitaru vya gesi wachukue wanaomchangia pesa imekura kwenu ,magufuli ndo rais wetu

Acha hofu hatuna mipango na vitaru sisi tuna mpango na gesi yetu itumike kwa ustawi wa taifa na sio kwa ajili ya wachache.suala la michango unalijua wewe.KAZI yetu ni MOJA kumtoa nduli chumbani,kuondoa panya ghalani,hiyo ndio kazi.peeeeeeeeeeples...power.LOWASA hoyee alute continue!
 
Tumeshuhudia Startv wakionyesha vijana wanachoma bendera na kadi wale wa Mwanza watueleze km kundi hilo hakuna kutoka CDM maana sura tumeziona

ukweli ni kwamba hakuna mwana Chadema hata mmoja kati ya hao uliowaona Mwanza wakichoma kadi za CDM,ni vjana walioandaliwa na CCM kama walivyofanya Dar es salaam.
 
Hao hawana shida, c wako kama wale wa dar waliovalishwa sare, wakisikia slaa anatumiwa wataiamini tu cdm, piiiiiipooooozzzz...!!
 
Hahaha....wanaitamani gesi yetu ili waendelee kupiga DILI....mtajuta Magufuli kuzaliwa Tanzania
 
Baada ya kusikiliza hotuba ya Dr. Slaa jana, na video zinazozunguka kwenye ujumbe wa simu, vijana wengi sana maeneo ya nyamongo wameanza maandamano ambazo zisipodhbitiwa zitaleta machafuko wakidai kwamba hawana imani tena na CDM pamoja na Mbowe kwa kutaupa wazalendo kama Dr. Slaa na Mnyika na matokeo yake kuliuza Chama kwa MAfisadi. Polisi walikuja na kuwafuata waandamanaji ambao hawakuonyesha dalili za vurugu na uvunjifu wa amani. Kwani huku polisi waspokuwa makini swala dogo linaweza kuleta mtafaruku mkubwa

Acha ujinga ww mbn niko hapa watu wanamkubali kuliko wazazi wao , na kama ulickiliza kwa umakini yule aliyelipiwa pale serena hakumtaja kabsa Mbowe ,, Mbowe ni hot keki hata pale Lumumba
 
Hao hawana shida, c wako kama wale wa dar waliovalishwa sare, wakisikia slaa anatumiwa wataiamini tu cdm, piiiiiipooooozzzz...!!

Kama mlivyokuwa mnamtumia akiwa CDM ..mkuki kwa nguruwe kwa binadamu .. ..
 
Baada ya kusikiliza hotuba ya Dr. Slaa jana, na video zinazozunguka kwenye ujumbe wa simu, vijana wengi sana maeneo ya nyamongo wameanza maandamano ambazo zisipodhbitiwa zitaleta machafuko wakidai kwamba hawana imani tena na CDM pamoja na Mbowe kwa kutaupa wazalendo kama Dr. Slaa na Mnyika na matokeo yake kuliuza Chama kwa MAfisadi. Polisi walikuja na kuwafuata waandamanaji ambao hawakuonyesha dalili za vurugu na uvunjifu wa amani. Kwani huku polisi waspokuwa makini swala dogo linaweza kuleta mtafaruku mkubwa

Mpango bomu huo. KAJITAFAKARI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom