Kimenuka Liwale, mabomu kwa kwenda mbele! Nyumba kadhaa zachomwa moto...

Kwa hiyo iasue ya liwale ndo useme nchi imemshinda?
huwa sibishani na nyie watumwa, hahahaaaa siongei na Wu wu wuww uwww naongea na mwenye wuwuwuwuwwwwuuuuuu by the way sijataja mtu niache nilale kwa amani tafadhali Mpwa zumbemkuu teeso kuna iji puishi aha jekunda kunim'bania kio changu
 
Hayo ni matunda ya ziara ya Kamanda MTATIRO - CUF katika viunga hivyoo ! Safi sanaaa....

Haki haiombwii... Wanataka kuwadhulumu sababu wao ni " WAISLAMU " ole wao sasaaa...

kwahio haki ya waislamu inadaiwa na kafiri julius mtatiro??
 
Mkuu tumekusoma kuna cd ya mkutano Wa cuf nimeicheki jana k.koo kuna duke jilani na tawi la wazee alihutubia mh kambaya siku nne zilizopita Huko liwale kawaamsha sana si mchezo Kule wanadhulumiwa sana
 
Hayo ni matunda ya ziara ya Kamanda MTATIRO - CUF katika viunga hivyoo ! Safi sanaaa....

Haki haiombwii... Wanataka kuwadhulumu sababu wao ni " WAISLAMU " ole wao sasaaa...

Kiukweli haki haiombwi,inatakiwa,lakini tuache UDINI.
 
Habari za uhakika nilizozipzta toka Liwale nyumba ya mbunge imechomwa moto, na nyumba za madiwani wa hapo mjini nazo zimechomwa moto, diwani mmoja wa kijijini amekatwa mapanga na wananchi. CCM liwale imezikwa
 
Habari za uhakika kutoka Lindi ni kwamba wakulima wa korosho wamechoma moto majengo ya serikali na ofisi ya mbunge sababu hawajalipwa pesa zao kwa awamu mbili sasa...

Mengi yatakayojiri yatawajia
 
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuchoma moto mali ambayo kesho ataihitaji..hapo wameteketeza kodi zao
 
CUF wana matatizo sana, all in all kodi itokanayo na korosho ndio itakayolipia hasara hiyo
 
Tusilaumu matokeo tu ni vizuri kutafakari chanzo cha matokeo hayo utaona kuna uzembe mahali fulani na mazoea ya kufanya mambo kwa staili ileile na kupuuza ushauri.
 
Back
Top Bottom