Kimenuka Kinondoni: Mbowe na wanachadema waliokuwa wanaandamana kwenda ofisi za NEC, watawanywa kwa mabomu

Welcome to the war mbinu zao za kwenda ofisi ya serikali nje ya muda wa kazi kulipua kwa kutumia red brigade zilishajulikana mapema kabla ya mkutano kufungwa ushauri wangu wenye watoto wakorofi wawatahadharishe kesho siku ya kupiga kura wasilete nyoko kama wanawapenda wawambie wapige kura warudi nyumbani
Ingependeza sana kama vitisho hivi ungemtishia aliyekuleta dar! Unawezaje kwa mfano kituo kipo ten meters kutoka kwenye makazi ya watu? Nao wakakae wapi? Na kwanini ilihali nchi yetu ni mfalme wa amani? Polisi wetu should have conflict management skills and knowledge na sio kufyatua mabomu na risasi tu!
 
Huwa nasema humu
Tuwe wachambuz wana jukwaa.
Ofis za serikal zinafungwa saa tisa na dakikeze
Sasa mtu anawafanya watu mazumbukuku wa kisiasa tu tena unawaambia polisi wasmguse mtu eti mtaita msaada, msaada gan? mna kikos cha jeshi nyie,mna mgambo au hao mabaunsa wenye nyama za sambusa???
Au mnataka wafuas mazwazwa waumie kwa vpgo tu???

Nna mashaka na huyu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania .
SIMUAMIN SIMUAMIN SIMUAMIN
Mno tena mnooooo!!!!
Aisee
 
Wanacho fanyiwa wapinzani nifedheha kubwa sana kwa jeshi letu la polisi, nimeona jinsi wafuasi wa Cdm walicho fanyiwa leo. Kesho itakua zaidi tujiandae kushuhudia maiti za wafuasi wa chadema. Nimeona jinsi polisi walivyo kusanywa kwa kazi maalumu. Yangu macho
Mkuu hata mm numeona nayale marisasi yanapigwa hovyo .kesho kweli sijui nini kitatokea. wengine tunaishi hapa jirani naofisi zamkuu wawilaya nazamkurugenzi mpaka tunapata hofu.
 
Welcome to the war mbinu zao za kwenda ofisi ya serikali nje ya muda wa kazi kulipua kwa kutumia red brigade zilishajulikana mapema kabla ya mkutano kufungwa ushauri wangu wenye watoto wakorofi wawatahadharishe kesho siku ya kupiga kura wasilete nyoko kama wanawapenda wawambie wapige kura warudi nyumbani
Ni kweli
Hivi hivi wataishia mahospitalini na mfukoni hamna kitu
Hapo ndipo UKILEMA FASTA
MWISHO WA SIKU UNABAKI NA UKILEMA WAKO!
Hii biashara hapana kabisa
INATISHA KWA KWELI
 
Mkuu hata mm numeona nayale marisasi yanapigwa hovyo .kesho kweli sijui nini kitatokea. wengine tunaishi hapa jirani naofisi zamkuu wawilaya nazamkurugenzi mpaka tunapata hofu.
Usihofu
Kila kitu kitakuwa shwari tu!
Watu wako kazini
AMANI
 
jazba lazma imekua too much am not a politician ila kunavitu vinakera tunaendesha mambo kitoto sana, utaratibu unaeleweka y mpka leo watu wasile viapo. ....sasa hapo u nashangaaa nn watu wakiwa wanajazba. .......ulitakiwa kuhoji utaratibu ulivo na kujiuliza huyo mkrugenzi kwann asitoe hzo document kama makaratasi yameisha siawambie wanasubiri karatasi kutoka kiwandani iliwachapishe hizo document, ........ nilazima tufanye reasoning Kwanzaa kwann huyo afanye watu wawe najazba
So vp mwisho wa jazba tumefanikiwa?
 
Muhimu wafate sheria na katiba ya nchi.

Ofisi gani zipo wazi mida hii?
Kwani nyinyi mnatumia sheria gani mpaka mnatumia nguvu kubwa? kumbe mnajua kuwa hamna lenu eehhh.
Kuwanyima watu utambulisho ndio sheria inavowaongoza hivyo?

Matregus makaku pumbavvvvvv.
 
Hata kurusha mabomu risasi zikazi zao .lakini vinaweza kuwazuru wasokuwemo .
Ni kweli
Lakini hiyo haitaweza kutokea
Si unakumbuka Temeke ilivyo kuwa?
Lakini kila kitu kilipita kilaini tu
Ondoa hofu ndugu yangu!
 
Hawo viongozi wa tume wanajidhihirishia kuwa tume ni mali ya ccm. Kwanini wafanye kazi kinyume na utaratibu wa sheria.
 
Upinzani watapata shida sana mpaka mtu smart ajehapatikane ni taabu tupu nawana mchango mkubwa sana kwenye matokeo ya maendeleo ya nchi hii...
 
Sasa kuna sababu gani kwa nini Tume haitaki kutoa fomu hizo?

Mawakala lazima watoke Kinondoni sio Nje ya Mikoani, Kwanini mnaenda kuokota Watu toka Moshi?
Ina maana hamuwaamini wana Chadema wa Kinondoni kuanzia kwenye kugombea mpaka kwenye uwakala?
 
Mawakala lazima watoke Kinondoni sio Nje ya Mikoani, Kwanini mnaenda kuokota Watu toka Moshi?
Ina maana hamuwaamini wana Chadema wa Kinondoni kuanzia kwenye kugombea mpaka kwenye uwakala?
wewe unakichaa wakala gani ametokea moshi unayemjua?
 
Back
Top Bottom