Kimeniuma kwakweli

ila nimeipenda styl ya binti, alipiga mahesabu akaona dalili za kukopwa, akuuu akatafuta ustaarabu mwingine tena kwa kumuonyesha kuwa anaweza! teh teh teh

Kweli kabisa loh hat me ningetafuta ustaarabu aisee
 
ila nimeipenda styl ya binti, alipiga mahesabu akaona dalili za kukopwa, akuuu akatafuta ustaarabu mwingine tena kwa kumuonyesha kuwa anaweza! teh teh teh

Bajeti si umeiona aisee, kumkopaje sasa kwanza kishtobe mwenyewe mchaga.
 
Bajeti si umeiona aisee, kumkopaje sasa kwanza kishtobe mwenyewe mchaga.

sasa hiyo bajeti kweli dio ya kuikatia viunoooo, ah wapi bora alitafuta ustaarabu mwingine, hizo akalipe ada ya watoto kwanza
 
Kumbe ulifkiri mchepuko upo mwenyewe
iloooo limedoda
 
Kwani ac yako nimekuomba au? ,wee njoo na daladala lakini wallet iwe imetuna una tunisha nanilii akati walet imepwaya khaaa, wacha niongee na waliotunisha vyote kwenye gari yako, utakula kwa macho mvulana mkubwa bahil wew

Heh! Hivi ndio wee? So funny! Nimecheka sana aisee
 
basi nae akaona ni ndogo ndiyo maana akafanya dharau mbele yako........

Njaa pia, huwa hawatosheki hao mkuu, hasa kama mtaji wake ni hiyo kitu, hata wakipewa milioni 100, sana sana mwanaume atapewa mzigo na nyongeza ya mahitaji lukuki yasiyoisha.
Ndio maana utasikia fulani kafilisiwa na kimada.
 
Babu yashanikuta hayo mwaka uliopita, nilitoroka job ijumaa nikala fatjet to mwanza kwenda kuchepuka nafika kule ananiambia ana kisusio nilichoka ila alikuwa mstaarabu nikaambulia mambo yetu yale ya Tunu basi ikawa fahmilillah

Mkuu, naona umeamua kujilipua?
 
Mleta uzi umewahi sana, sasa ona umemshtua tayari.
Huyo dawa yake ungejifanya bushoke feki, siku ukila mzigo unamkopa, akileta za kuleta unakuja kijiweni kumuanika na hatua ulizochukua.

Tumechoka kusikia kila siku wanaume wanakopwa tu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…