Kimeniuma kwakweli

Nipe namba ya mkeo nimuulize kama ni kweli
 
komaa kzba!
naona umempania sana huyo Dada...ila ujue Ndo kuna kuumia hivo coz hapo kuna uchepukaji...

siku ingine atakupeleka umbali wa 500km afu utaambulia patupu......
 
komaa kzba!
naona umempania sana huyo Dada...ila ujue Ndo kuna kuumia hivo coz hapo kuna uchepukaji...

siku ingine atakupeleka umbali wa 500km afu utaambulia patupu......

Babu yashanikuta hayo mwaka uliopita, nilitoroka job ijumaa nikala fatjet to mwanza kwenda kuchepuka nafika kule ananiambia ana kisusio nilichoka ila alikuwa mstaarabu nikaambulia mambo yetu yale ya Tunu basi ikawa fahmilillah
 
tafuta wa kutia machozi ! wakati ukitafuta pozi la kumchinja huyo kuku anaekimbia bandani....

akizingua tena tumia manati
 
Hata wa maana basi ndugu...yan hamna kitu,..... tu dada fulani twa kichaga sema mi nilitaka kupandisha rejesta yangu tu aisee

Vipi huyu nae ni mrombo?maana ukishasema umewagegeda Sana mabinti wa huko.
 
yaani masai dada tunakoelekea tutaoa mama, maana hawa wanaume wa siku hizi wamebaki kuwa wanaume majina, vibarazani tunakesha nao, sasa hapo kuna mwanaume kweli!!!
 
Last edited by a moderator:
yaani masai dada tunakoelekea tutaoa mama, maana hawa wanaume wa siku hizi wamebaki kuwa wanaume majina, vibarazani tunakesha nao, sasa hapo kuna mwanaume kweli!!!

hakuna ni shidaa sana
 
Last edited by a moderator:
Nimeipenda story yako komaa nayo mpaka kieleweke then uje na mrejesho
 
Ha.ha ha ha ha jf raha sana ... umeshaliwa we mchepuko ye naye anamchepuko... unazima gari unafungua vioooo unakuwa kama mlinzi wa jeshi macho huku.na kule ha.ha ha ha maisha matamu loh
 
Aaah,Baba Fanueliiiiiiiiiii.....!!!!!!!!
 
Ha ha tamu.ya pipi kumumunya ha ha kibonge nicheke mie nipanue mbavu

ila nimeipenda styl ya binti, alipiga mahesabu akaona dalili za kukopwa, akuuu akatafuta ustaarabu mwingine tena kwa kumuonyesha kuwa anaweza! teh teh teh
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…