Cheki bajeti hii;
Hoteli pale ubungo =40,000/
Wote siyo walevi kwa hiyo
Chakula na mbwembwe= 50,000/=
Kifuta jasho au kifua chupi 60,000/=
Usafiri upo,
Kweli hyo pesa ndogo mdau?
Hahahaaaa muda mwingine tumuombe mungu haya mapepo yaishe yani tuyakemee kwa nguvu zote
..ulisahau kutenga buku 2 ya ruff ryders..
Mpe ushauri huyo kijana.Wanaumw mmeumbwa na vifua vya kukabiriana na kila hali sasa kama mchepuko tu kaanza kumsema hivyo angechukuliwa mke si tz nzima ingejua
ndogo aiseeee.......mchepuko unatakiwa kutoa hela ndefu.....sasa 60,000 tu......sasa kwanini achepuke kisa 60,000.....ndiyo maana kasepa.....
kzba hizo ndizo gharama za michepuko, lazima ajifanye ghali kuliko mkeo. Maana kama mkeo ni wa kiwango cha juu basi usingekwenda kwake mchepuko, ungetulia na mkeo nyumbani.
Hata wa maana basi ndugu...yan hamna kitu,..... tu dada fulani twa kichaga sema mi nilitaka kupandisha rejesta yangu tu aisee
Nitamtia mikononi tu na nitaleta mrejesho hapa wala hana ujanja sema nilichukia nikazila ilikuwa anitunuku
Dah aisee kumbe wanaume tabia tunafanana maana hata mie wakati mwingine natamani kujaza rejesta.
faida ya hii rejesta ni nini.....?