Kimeniuma kwakweli

Kimeniuma kwakweli

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
790
We Mchepuko tarajiwa wewe ulichonifanyia jana sitokaa nikusamehe labda unitunuku mambo yetu yale kudadadeki.

Yaani nitoke Nyumbani tena kwa kulizua tu kwa wife kimagumashi, nichome mafuta yangu ya kugidagida mpaka kwenu takriban 72 km go and return gari 2500cc tukakaa kwenye maongezi zaidi ya masaa 2 gari iko silence unakula unyunyu wangu tukitafuta muafaka wa kugegedana ukawa unanizingua.

Ghafla anapokea Simu kwa woga tena kwa mwanaume kama mimi na yeye alikuwa anakutongoza tu kwa mujibu wa maongezi yenu nilivokuwa nayasikia, yeye unampa appointment tena kwenye gari langu unakula AC tu sehemu ya kukutana mkagegedane mi unaniletea sinema.

Kimeniuma kwa kweli.

Unajijua kudadadeki wewe#Jana.
 
Ndo mkome mchepuko....pole kwa kuzidiwa akili
 
ndo ukome kuchepuka! Ulioa kwa nin kama ulikuwa hujashiba michepuko. Next time litakupata kubwa zaidi ya hilo hapo ni warning
 
Hahaahaa mapema yote hii mkuu?
Sasa ulitaka nifanyeje wakati unajua wazi mapenz ni kama kiti cha daladala halafu ujifunze siku nyingine kazi kunipiga baridi na li AC lako utafikiri nimekwambia nje joto lilikuwa linaniua..wenzio wanaongelea wallet yaan peisaahh blabla nyingi ya mkeo hii
Mxiuuuuuu...
 
nimeipenda hiyo, sasa unalialia nini? na nawewe ni mchepuko so kuwa mpole
 
Pole mkuu kwa masaibu yalokukuta.
Lakini hauoni kama wewe unamkosea huyo member wa jf kwa kumvuanguo hapa jamvini!
Na kwani ulitegemea wewe ndio wakwanza kwake hadi ujiaminishe kwamba hana mwanaume kipindi ukimtafuta kimapendano!?
Hii jf ya kipindi cha .com mbona mnatuaibisha kiumeni kwa kujiliza liza!?
 
Hata hufanani, wallet inapumua nilikadiria kuteketeza kama laki na nusu jana ila ndo ivo tena
 
nimeipenda hiyo, sasa unalialia nini? na nawewe ni mchepuko so kuwa mpole

Kimeniuma bora mafuta yangu ningekwenda shambani vikindu ningerudi na faida *****
 
Pole mkuu kwa masaibu yalokukuta.
Lakini hauoni kama wewe unamkosea huyo member wa jf kwa kumvuanguo hapa jamvini!
Na kwani ulitegemea wewe ndio wakwanza kwake hadi ujiaminishe kwamba hana mwanaume kipindi ukimtafuta kimapendano!?
Hii jf ya kipindi cha .com mbona mnatuaibisha kiumeni kwa kujiliza liza!?

Yaani mkuu we acha tu nimeacha kuangalia mpira jana kufuata mgegedo kaniletea sinema aisee
 
kutongozana mtongozae pm, kudhalilishana mje mdhalilishane kwenye thread........shame on you
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom