Kimemkuta kipi zari boss lady?

Kimemkuta kipi zari boss lady?

nyani jike

Senior Member
Joined
Feb 23, 2016
Posts
176
Reaction score
223
Kwel wabongo ni noma ukitaka kuishi vizuri na mama mkwe sharti uwe chini.so busara kama ni kweli mama dai amemlisha keki mkwewe na mkono Wa kushuto,so busara mkwe wako kuja sehumu ulipo ugegeni kumtreat like a stranger,si busara kumsokomola mkweo,Mama zetu jifunzeni kiheshimu hisia zetu pia kumbukeni watoto wenu wanaponea kwetu pia chaaaaaaaa!kimeniuma kama mwanamke ndo maana nasema nitabaki kuwa mtazamaji always!siyo vizuri inabidi wamuombe msamaha siyo Picha nzuri kabisa wanatudhalilisha wabongo!ila pia ni fundisho pia kwa mabinti wengine maisha ya zari yasomwe kama gazeti na kama mfano.umeacha watoto wako wanne umekuja kuzama kwa kijana 20's haya ni matokeo tu unamzalia kijana nzao mbili jumlisha na za mume mwingine?kijana dia wewe ni mume wako au mpenzi wako?kwa hizo nzao mbili hata huo sio uzungu mwambie akakutolee mahari kwenu akuoe akajitambulishe kwenu siyo kukuzalisha kama EKUBETA I'm sorry kama nimechapia.
 
Nimekuelew umekelwa Na kusokolwa na dharau za mama maMa dai kwa mkwewe kwan zar hajui madhara ya kuambatana na wakwe kila kona?
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kwel wabongo ni noma ukitaka kuishi vizuri na mama mkwe sharti uwe chini.so busara kama ni kweli mama dai amemlisha keki mkwewe na mkono Wa kushuto,so busara mkwe wako kuja sehumu ulipo ugegeni kumtreat like a stranger,si busara kumsokomola mkweo,Mama zetu jifunzeni kiheshimu hisia zetu pia kumbukeni watoto wenu wanaponea kwetu pia chaaaaaaaa!kimeniuma kama mwanamke ndo maana nasema nitabaki kuwa mtazamaji always!siyo vizuri inabidi wamuombe msamaha siyo Picha nzuri kabisa wanatudhalilisha wabongo!ila pia ni fundisho pia kwa mabinti wengine maisha ya zari yasomwe kama gazeti na kama mfano.umeacha watoto wako wanne umekuja kuzama kwa kijana 20's haya ni matokeo tu unamzalia kijana nzao mbili jumlisha na za mume mwingine?kijana dia wewe ni mume wako au mpenzi wako?kwa hizo nzao mbili hata huo sio uzungu mwambie akakutolee mahari kwenu akuoe akajitambulishe kwenu siyo kukuzalisha kama EKUBETA I'm sorry kama nimechapia.
Sandra si alipata stroke akapelekwa India na mwanawe?
Ulitaka ashike uma na mkono ulio paralyse?
 
Kwel wabongo ni noma ukitaka kuishi vizuri na mama mkwe sharti uwe chini.so busara kama ni kweli mama dai amemlisha keki mkwewe na mkono Wa kushuto,so busara mkwe wako kuja sehumu ulipo ugegeni kumtreat like a stranger,si busara kumsokomola mkweo,Mama zetu jifunzeni kiheshimu hisia zetu pia kumbukeni watoto wenu wanaponea kwetu pia chaaaaaaaa!kimeniuma kama mwanamke ndo maana nasema nitabaki kuwa mtazamaji always!siyo vizuri inabidi wamuombe msamaha siyo Picha nzuri kabisa wanatudhalilisha wabongo!ila pia ni fundisho pia kwa mabinti wengine maisha ya zari yasomwe kama gazeti na kama mfano.umeacha watoto wako wanne umekuja kuzama kwa kijana 20's haya ni matokeo tu unamzalia kijana nzao mbili jumlisha na za mume mwingine?kijana dia wewe ni mume wako au mpenzi wako?kwa hizo nzao mbili hata huo sio uzungu mwambie akakutolee mahari kwenu akuoe akajitambulishe kwenu siyo kukuzalisha kama EKUBETA I'm sorry kama nimechapia.
INCUBATOR .
 
Nikiwa nawawakilisha wa mikoani sijaelewa
 
Nimesikia Mama dai mara nyingi hua anatumia mkono wa kushoto so usishangae sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom