Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,703
- 35,521
Huyu Msangi ana kashfa za utapeli sana.Huyu Promonta janja janja kaweka mpunga?,ngoja tuone.
Ana kashfa ya kuwahujumu mabondia mara kwa mara.Namuona jerry hapo juu wawe makini nae moja ya mapromota wa hovyoo
ILIBIDI AFUTIWE LESENI
Sawa shangazi tumekusikia.Sioni mtu wa kunipiga mimi nikiingia ulingoni.
Hahhahahaha! AiseeSawa shangazi tumekusikia.
Naunga hoja mkonyo..Sioni mtu wa kunipiga mimi nikiingia ulingoni.
Ndo mkuu ni mpambano kati ya mwanaabdalah.vs twaha bint kiduku..Huo mpambano ni wa kucheza ngoma? Naona mavazi maalum ya sindimba!
Kama kawaida yako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe uone uvivu kuandika kiruuuuuuuupyaaaaaaa
Kutwa kuwatag mods
Kiasili zaidi.Nimependa Outfits zao