wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,829
Tunashukuru sana awamu hii.
haaaahhaa...Hicho ningelala nacho Mbere!!
na dawa hawatumii!![]()
![]()
yani watu wa humu ni vichaa
Nmecheka jamani.kingekuwa cha maweSipati picha kingeitwa kimbunga Magu....
Madhara ambayo kingeleta ni zaidi ya haya



Vimbunga vingi vyenye madhara vina majina ya kike.. Katrina, Magdalena e.t.c
Hicho Keneth ni cha kiume kitakuwa hakina madhara.
Nasikia kimetokea lumumbaNacho kinatokea baharini?
Kimbunga Jiwe KichaaVimbunga vingi vyenye madhara vina majina ya kike.. Katrina, Magdalena e.t.c
Hicho Keneth ni cha kiume kitakuwa hakina madhara.