Kimbunga Katrina kilikuwa na speed ya 174MPH, Kimbunga Jobo kitapiga kwa speed ya 30MPH, je , kuna haja ya kupoteza muda kukijadili?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,066
40,725
Ni ukosefu wa kazi za kufanya au ni nini? Picha ni kama zinavyojieleza hapo chini..

91B8ECC2-E9A4-4630-97F9-417BF832CAD1.png

2FFF480D-9C5A-4EEB-81DA-10FAC5DBE204.jpeg


Update:

 
Hata kama huo Upepo umepungua nguvu hizo Mvua za Miaka miwili kunyesha ndani ya masaa 24 ni hatari kubwa
 
Nimekumbuka miaka ya 80 nyumba za udongo ukija upepo mkali tunaweka matofali au magogo juu ya bati.
 
Back
Top Bottom