MoJa Group
New Member
- Apr 23, 2016
- 1
- 0
Unakuta mtu anajua kabisa kutokana na kipato changu kwa sasa siwezi kuishi kwenye nyumba ya gharama fulani labda tuseme kwenye self container. Lakini kutokana na watu anaowajua anaotembea nao kila siku wanaishi kwenye nyumba nzuri apartments za gharama na yeye anataka kufanana nao bila kuangalia kipato chake bado hakijakua. Ndio utafanana nao lakini mateso yatakua juu yako mshahara utaisha kabla ya mwezi kufika nusu utaishia kulalamika mshahara hautoshi kumbe ni wewe mwenyewe umeufanya usitoshe soma zaidi hapa Usijifananishe na wengine. ~ MoJa Group