Naomba tujadili pamoja hii kauli.... Kwa mimi nasema tusikashifu dini za watu, kama maandiko yanavyosema ( wewe una dini yako na mimi ninayangu, siwezi kuabudu unachokiabudu na wewe huabudu ninacho kiabudu,. Kwahiyo kila mmoja anaabudu anachokiabudu)
Sasa hapa narudi kwenye uzi,. mwanaume , mwanamke mmoja hakidhi haja za matamanio yake. Ndio maana dini ya Uislamu, imemuagiza mwanaume aoe kuanzia wawili, watatu au wanne na huyo mwanaume Akiwa anahofia uadilifu basi aoe mmoja.
Kwahapo kimaumbile tulivyoumbwa unaona hali ya mwanaume ikoje
*** kidokezo kwa utafiti uliofanywa. kuwa na mke mmoja inafika wakati matamanio yanapungua au unakuta unakung'uta kimoja au viwili, thunalala zako, gemu halinogi kiviile.
Lakini ukiwa na wawili/watatu au 4i hizo nguvu sio mchezo siku tatu huku tatu kule, waacha wewe unakuwa more active hata wake zako wanaenjoy game dakika zote 90.
Haya tuende maoni yenu yana umuhimu.

.
kama muumba angeliona hilo hakika angemuumbia adamu mke zaidi ya mmoja,lakini kwa kuwa alijua inawezekana sana kwa mwanaume kuridhishwa na mwanamke mmoja ndio maana akampa mke mmoja tu hawa,hayo mengine ya kimaumbile na sijui nini ni innovation za wanadamu tu ili kuhalalisha uasherati,hivyo ndivyo nionavyo mimi.
Hivi unadhani mwanamme mmoja anamtosheleza mwanamke? Au wanawake hawana matamanio?
Si lazima kuoa, bora kuwa free ukala upendavyo.
labda kwa kuwa unafikiri maisha ni kungonoka tuuu!
hauwaz juu ya upande mwingine wa maisha............wake wa 4 wa nn jaman zama iz!
Hii mada yako haijadiliki kwa kuwa tayari umeingiza mtazamo wa dini ndani yake...
La hasha watakaoweza kujadili ni hao wa dini uliyoibambanua katika maandishi yako hapo juu...
Wataweza kufanya hivyo kwa kuwa ndio waelewa wa nini walichoelekezwa katika vitabu vya Imani yao...
Sisi wengine ngoja tuwe wasomaji tu....
My happiness inapatikana katika vitabu mia na nane (104) isipokua kimoja tuu toleo la mwisho (( Last version )).Hayo maandiko yapo kwenye kitabu gani?
Mhe. king " hiyo ni hiyari ya mtu (mwanaume) mwenyewe siyo lazima au kulazimishana , Binafsi Mmoja anatosheleza na mechi hunogea !! ila "ME" wapo tafauti !!Naomba tujadili pamoja hii kauli.... Kwa mimi nasema tusikashifu dini za watu, kama maandiko yanavyosema ( wewe una dini yako na mimi ninayangu, siwezi kuabudu unachokiabudu na wewe huabudu ninacho kiabudu,. Kwahiyo kila mmoja anaabudu anachokiabudu)
Sasa hapa narudi kwenye uzi,. mwanaume , mwanamke mmoja hakidhi haja za matamanio yake. Ndio maana dini ya Uislamu, imemuagiza mwanaume aoe kuanzia wawili, watatu au wanne na huyo mwanaume Akiwa anahofia uadilifu basi aoe mmoja.
Kwahapo kimaumbile tulivyoumbwa unaona hali ya mwanaume ikoje
*** kidokezo kwa utafiti uliofanywa. kuwa na mke mmoja inafika wakati matamanio yanapungua au unakuta unakung'uta kimoja au viwili, thunalala zako, gemu halinogi kiviile.
Lakini ukiwa na wawili/watatu au 4i hizo nguvu sio mchezo siku tatu huku tatu kule, waacha wewe unakuwa more active hata wake zako wanaenjoy game dakika zote 90.
Haya tuende maoni yenu yana umuhimu.
kuepuka zinaa ni bora tuoeKumbe tunaoa ili tukidhi matamanio tu??
halafu hilo love unaligawanya vipi kwa hao wanne!
mm nashindwa kuelewa unawapendaje wanawake wanne kwa wakati mmoja?? au ni ku watamani tu lakini hakuna upendo??
is there scientific proof for that?? wanakuwa hawaja 'recharge'Kila siku unakwepa maswali yangu! But leo nimekuja na fimbo hapa! Usipojibu nakuchapa!
Teh teh teh! Utani tu!
...
Yap! Generally me mmoja anamtosheleza ke m1 hata wa3!
Sema inategemea na me mwenyewe! Hawa viepe mayai hawawezi hilo!
...
But ke mmoja hawezi kutosheleza me zaidi ya mmoja! Yes! Haiwezekani ke agongwe vitatu na baada ya saa moja agongwe tena! Unalo?!!!