Akili za bata hizo yani upokee mtu mmoja kwa kupoteza watu mil 1 💩. unapo pokea watu wa jinsi hiyo siku zote unapoteza imani kwa wananchi na kupoteza kikubwa zaidi kuliko unacho pata ...pia akili siyo kuwa na watu wapumbavu ....lazima utizame vizuri watu ulionao kwenye ajenda siyo kukusanya tu takataka kisha ukadhani unajenga chama.Chama ni watu, muhimu wajiridhishe kama hawatakuwa na athari hadi wawakubalie tu
Au ataandika kitabu cha kijasusi chenye title ya Failed CHAUMMA project?Bado wewe kibaka Yericko Nyerere View attachment 3493459
Hawezi maana vile vyote anavyoandika kuhusu CIA na Mossad anacopy na kufanya kutafsiri kutoka google.Au ataandika kitabu cha kijasusi chenye title ya Failed CHAUMMA project?
Ngoja tuone itakavyokuwaAkili za bata hizo yani upokee mtu mmoja kwa kupoteza watu mil 1 💩. unapo pokea watu wa jinsi hiyo siku zote unapoteza imani kwa wananchi na kupoteza kikubwa zaidi kuliko unacho pata ...pia akili siyo kuwa na watu wapumbavu ....lazima utizame vizuri watu ulionao kwenye ajenda siyo kukusanya tu takataka kisha ukadhani unajenga chama.