“NARUDI ZANGU CHADEMA”
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Jimbo la Arusha Mjini, Amani Kimati, ametangaza kujivua rasmi uanachama wa chama hicho na kuhamia CHADEMA, chama ambacho awali alikihudumia katika nyadhifa mbalimbali ikiwemo kuwa Katibu Mwenezi wa Kata ya Sombetini.
Kimati amesema amefanya uamuzi huo kutokana na sababu mbalimbali, ikiwemo chama cha CHAUMMA kushindwa kusimamia mabadiliko wakiwa ndani ya mchakato wa uchaguzi. Pia amekituhumu chama hicho kwa kushindwa kukemea matukio ya utekaji yanayoendelea kuripotiwa nchini.
“Tuliaminishwa Chaumma inaenda kupambana na dola hili tupate katiba mpya, tupate ‘reforms’ kwenye uchaguzi huku tukiwa ndani ya uchaguzi, lakini hatuoni movement yoyote inayofanyika ili katiba mpya ipatikane,” amesema Kimati.
Aidha, katika hatua nyingine, Kimati amesema wanachama wa chama hicho waliaminishwa kuwa Mwenyekiti wa zamani wa CHADEMA, Freeman Mbowe, angehamia ndani ya CHAUMMA na ndiye angekuwa mgombea urais wa chama hicho, lakini mpaka sasa Mbowe hajaonekana ndani ya chama hicho.

Tuliaminishwa Chaumma inaenda kupambana na dola hili tupate katiba mpya, tupate ‘reforms’ kwenye uchaguzi huku tukiwa ndani ya uchaguzi, lakini hatuoni movement yoyote inayofanyika ili katiba mpya ipatikane,” amesema Kimati.
“NARUDI ZANGU CHADEMA”
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Jimbo la Arusha Mjini, Amani Kimati, ametangaza kujivua rasmi uanachama wa chama hicho na kuhamia CHADEMA, chama ambacho awali alikihudumia katika nyadhifa mbalimbali ikiwemo kuwa Katibu Mwenezi wa Kata ya Sombetini.
Kimati amesema amefanya uamuzi huo kutokana na sababu mbalimbali, ikiwemo chama cha CHAUMMA kushindwa kusimamia mabadiliko wakiwa ndani ya mchakato wa uchaguzi. Pia amekituhumu chama hicho kwa kushindwa kukemea matukio ya utekaji yanayoendelea kuripotiwa nchini.
“Tuliaminishwa Chaumma inaenda kupambana na dola hili tupate katiba mpya, tupate ‘reforms’ kwenye uchaguzi huku tukiwa ndani ya uchaguzi, lakini hatuoni movement yoyote inayofanyika ili katiba mpya ipatikane,” amesema Kimati.
Aidha, katika hatua nyingine, Kimati amesema wanachama wa chama hicho waliaminishwa kuwa Mwenyekiti wa zamani wa CHADEMA, Freeman Mbowe, angehamia ndani ya CHAUMMA na ndiye angekuwa mgombea urais wa chama hicho, lakini mpaka sasa Mbowe hajaonekana ndani ya chama hicho.
“NARUDI ZANGU CHADEMA”
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Jimbo la Arusha Mjini, Amani Kimati, ametangaza kujivua rasmi uanachama wa chama hicho na kuhamia CHADEMA, chama ambacho awali alikihudumia katika nyadhifa mbalimbali ikiwemo kuwa Katibu Mwenezi wa Kata ya Sombetini.
Kimati amesema amefanya uamuzi huo kutokana na sababu mbalimbali, ikiwemo chama cha CHAUMMA kushindwa kusimamia mabadiliko wakiwa ndani ya mchakato wa uchaguzi. Pia amekituhumu chama hicho kwa kushindwa kukemea matukio ya utekaji yanayoendelea kuripotiwa nchini.
“Tuliaminishwa Chaumma inaenda kupambana na dola hili tupate katiba mpya, tupate ‘reforms’ kwenye uchaguzi huku tukiwa ndani ya uchaguzi, lakini hatuoni movement yoyote inayofanyika ili katiba mpya ipatikane,” amesema Kimati.
Aidha, katika hatua nyingine, Kimati amesema wanachama wa chama hicho waliaminishwa kuwa Mwenyekiti wa zamani wa CHADEMA, Freeman Mbowe, angehamia ndani ya CHAUMMA na ndiye angekuwa mgombea urais wa chama hicho, lakini mpaka sasa Mbowe hajaonekana ndani ya chama hicho.
Vyama vya upinzani tanzania havina sera za ushindi wala sera za kuaminika kwa wananchi ni.kosa kubwa chadema watafanya kupokea watu wa jinsi hiyo ya usaliti mkubwa kwa taifa
Kilogic linamadhara makubwa kuwakubali hao watu kwa imani ya wananchi ambao ndiyo nguvu kuu ya chama chochote cha upinzani ...ndiyo maana vyama vya upinzani vimepoteza nguvu ya umma sana ...ndiyo hata wakiitisha maandamano wananchi wanakosaga imani, ni lazima chama kiwe na miiko mikuu uwezi kufanya aina yoyote ya usaliti na kukubaliwa tena ...mbona chadema kuna watu siyo wanachama na wanakiunga mkono ? Kwani ni lazima kuwa mwanachama ndiyo kupigia kura chama unacho kipenda ?kuruhusu aina hiyo ya wanachama kinaonyesha kukosa umakini sawa na ccm hadi wametufikisha hapa tulipo kwa taifa kutiwa mifukoni na Raia wa kigeni wanao jifanya watanzania. Unapo ruhusu malaya wa kisiasa ndani ya chama cha upinzani ni kuporomosha nyoyo za wananchi kuwa na imani na chama ..mfano wale wana chadema wa Zanzibar walio tumiwa na ccm ya mafisadi kufungua kesi ili chadema isifanye chochote watu kama hao wakiondoka chamani inatakiwa kufukuzwa milele ...chadema wanafanya kosa jingine litakalo waumiza sana ...kuna wanachama wa kisiasa wapo siyo kwa ajili ya kupigania haki hivyo wao ucheza na upepo wa pesa na usaliti kufanikisha maslai yao binafsi ya kiuchumi ni hatari kuwa na watu wa jinsi hiyo chamani