Kimara, Dar: Basi likitokea Dodoma lagongana na Lori; magari yateketea kwa moto

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,111
18,327
Basi la Kampuni ya Safari njema lililokuwa likitokea Dodoma kuelekea Dar es Salama. Limegongana na Lori katika eneo la Kimara Stopover.

Hasara bado haikafahamika.

=======




 
Hii ajali funga kazi, ni zaidi mateso, ni zaidi ya.kifo, ni zaidi ya ufikiriavyo.

Video inaendelea kutembea whatsap nimeiona it is terrible
 
Kuna ajali mbaya sana imetokea hapa eneo la Suca Mbele kidogo ya stop over ikihusisha lori na Basi T 990 ADF liitwalo Safari njema linalofanya safari zake kati ya Dar na Dodoma linaungua. SASA hivi yanaungua na watu waliokuwemo ndani.
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 20 kujeruhiwa.
 
Mafuvu yanapasuka huku watu wakiyasikia.Inasikitisha.
Nasikia dereva wa basi alikuwa anaovertake eneo hilo la gereji ambalo barabara ni nyembamba na magari huwa yanakimbia sana hapo,kuja kustuka lori hili hapa!
Nimeambiwa wametoka watu wachache sana hasa waliokaa nyuma,wengi wameungua humo humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…