mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,838
- 106,042
Hahaha rangi yangu sijaacha kuleNikipita tena nitakua naangalia kama umeacha wenye sura yako kule
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hahaha rangi yangu sijaacha kuleNikipita tena nitakua naangalia kama umeacha wenye sura yako kule
Zipo sisi ndy watu kwanza kwanza ku deal na sapphire nuts za kilosa huko na maconi mayaiSijuagi kama kuna madini kule
Nimekàa sana Ilonga pale Ustawi ndio tulikuwa watoto wa kishua tofauti na kota. Ilonga msalabani kina kambale wa kuchoma na mihongo na samaki wa ngurukaDuu, Hivi Lumbiji Bado ipo, Majengo ya Zamani Sana. Zile cjw zlkuwa Kota za nn?
Ila Ilonga Nguruwe wengi duuu
Nimekumbuka mbali sana.Ila kwa sasa angalau maana nakumbuka kipind hiko nasoma kilosa agricultural sec school ilikuwaa balaa hiyo barabara dumila tu rudew masaa manne +
2010 nipo kidato Cha nne, juzi Kati Kuna kazi nilienda kufanya pale shule imebadilika sana..Nimekumbuka mbali sana.
2010 kuna mtoto wa O'level pale kilosa Agr. aling'atwa na mamba kule mtoni.
Sijui kwa sasa ila wakati huo hakukua na usafiri wa uhakika wakwenda kilosa, tuliendesha baiskeli kuanzia shuleni mpaka kilosa mjini takribani 30KM (kwenda na kurudi= 60km).
Wakati huo Mzamir Yassin ni Wamoto sana kwenye soka. Timu pinzani alikuwa akicheza Juma Luzio[/B].
Inter class zilikua zamoto sana pale timu ya Mzamiru na Juma Zinapokutana.
Wote hawa wamekutana tena wakiwa Professional players mtaa wa msimbazi.
😂😂😂😂Dogo yule alikuwa anaitwa Kachimaa umenikumbusha kipind cha utawala wa WD( wadudu wa dampo) kuna jamaa tall hivi alikuwa anaitwa mafuru Neke jamaa alikuwa anaenda kati kinoma lakin kila roll call ikipigwa yupo enzi hizo discpline master ni mhagama a.k.a kengeNimekumbuka mbali sana.
2010 kuna mtoto wa O'level pale kilosa Agr. aling'atwa na mamba kule mtoni.
Sijui kwa sasa ila wakati huo hakukua na usafiri wa uhakika wakwenda kilosa, tuliendesha baiskeli kuanzia shuleni mpaka kilosa mjini takribani 30KM (kwenda na kurudi= 60km).
Wakati huo Mzamir Yassin ni Wamoto sana kwenye soka. Timu pinzani alikuwa akicheza Juma Luzio[/B].
Inter class zilikua zamoto sana pale timu ya Mzamiru na Juma Zinapokutana.
Wote hawa wamekutana tena wakiwa Professional players mtaa wa msimbazi.
Wewe ndo mmoj wa wale WD mkuu??? Mafuru Neke yupo wapi asee??? Jamaa nilikuwa namkubali kinomaa yanii2010 nipo kidato Cha nne, juzi Kati Kuna kazi nilienda kufanya pale shule imebadilika sana..
St Cuba KakazIla kwa sasa angalau maana nakumbuka kipind hiko nasoma kilosa agricultural sec school ilikuwaa balaa hiyo barabara dumila tu rudew masaa manne +
Kaka, hiyo wilaya imebarikiwa sana.Magomeni sehemu kongwe hiyo mambo ya umeme ilitakiwa kuwa historia basi tu
Hata hivyo kilosa tuliipaishia sana kipindi cha nyuma kuna mambo fulani yalikuwa yanapatikana huko ilifanya kilosa kujulikana..
Alafu ukipita kizungunguzii kama unaelekea milima ya lumbiji juu huko kitambo sana mzungu alitega maji huko ndiyo yanashuka chini mpk kizunguzi shule maji sijawahi ona yakikauka
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Dah kaka unaongea memory zinazonihusu sana.Kupo mm hko nlikuwa nakaa tu milimani wamangati kibao ukitoka lumbiji unashuka unapita kwa kilimo unatokea kizunguzi shule
Rudewa unaonganisha gongoni,gongoni pale unapanda mlima kwenda unone..shotkut zipo sema kuna machatu sana
Haya maisha bana acha tu
mama D
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
26 ni kutoka kibaoni kwenda mjini. Kuna zile zakutoka shule mpaka kibaoniNilikua naendesha baiskeli kutoka kizunguzi mpaka kilosa mjini (26 Kms) Ni moja ya wilaya zilizobarikiwa.
Zile zinafika 5.26 ni kutoka kibaoni kwenda mjini. Kuna zile zakutoka shule mpaka kibaoni
Quick response......goodNdugu mpendwa mteja wetu
Tunashukuru kwa taarifa yako, Tafadhali onyesha taarifa kamili ili kuturahisishia kufatilia na kufanyia kazi taarifa zako kama ifuatavyo:
Jina...
Eneo...
Wilaya...
Simu...
Tatizo...
Umetoa taarifa lini (Tar..Mwezi.. Mwaka)...
Kama una namba ya taarifa...
Simu zetu za Huduma kwa Wateja:
0768 985 100/022 219 4400
TANESCO Huduma kwa Wateja
Makao Makuu
Ndio inawekwa mkuu Mungu akipenda mpaka June itakuwa tayariMmmhh unataka kuniambia Kutoka Kimamba hadi kilosa via Ilonga(Msalabani),Mati ,Mkono wa mara hakuna lami?
Ndio inawekwa mkuu Mungu akipenda mpaka June itakuwa tayari