Kimamba imekufa. Kero ya usafiri Kimamba - Dumila na Kero ya TANESCO

Siwezi kusahau, nilitembea kwa mguu kutoka Kilosa town Hadi karibia na MATI eti kisa jioni hakuna gr
 
Siwezi kusahau, nilitembea kwa mguu kutoka Kilosa town Hadi karibia na MATI eti kisa jioni hakuna gari ya kuja DUMILA Jion na mm nilikuwa Naenda Chuoni pale
 
mrangi Msalabani ndo maeneo yetu, nilikuwa natoroka Chuo kuja kucheki mpira. Kila Ijumaa nikitoka msikitini Lazima tupite kwa mama mmoja hv Sisi tulimuita Shangazi, tunanunua mihogo ya kukaanga, Mihogo ya buku akikuwekea na Kachumbari au chachandu, aiseee Kipande Cha nyama Chuoni nagawa
 
Ah hapo msalabani nlikuwa napenda sana kja siku za mnada alafu watu hapo kdg wastarabu
Rudewa pale vurugu + pombe + utapeli
Nlikuwa nkishuka toka lumbiji au unone lazima nije hapo kufurahisha macho

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Ahh dah

Duu, Hivi Lumbiji Bado ipo, Majengo ya Zamani Sana. Zile cjw zlkuwa Kota za nn?
Ila Ilonga Nguruwe wengi duuu
 
Kupo mm hko nlikuwa nakaa tu milimani wamangati kibao ukitoka lumbiji unashuka unapita kwa kilimo unatokea kizunguzi shule
Rudewa unaonganisha gongoni,gongoni pale unapanda mlima kwenda unone..shotkut zipo sema kuna machatu sana
Haya maisha bana acha tu
mama D

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kupo mm hko nlikuwa nakaa tu milimani wamangati kibao ukitoka lumbiji unashuka unapita kwa kilimo unatokea kizunguzi shule
Rudewa unaonganisha gongoni,gongoni pale unapanda mlima kwenda unone..shotkut zipo sema kuna machatu sana
Haya maisha bana acha tu
mama D

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
We mrangi lumbiji ulifata nini kule 🙌🙌🙌🙌 yaani kulivyo mbali..... au uliwekeza kwenye maharage na Tangawizi?
 
Back
Top Bottom