hebu acheni utoto jamani siku hizi demand ya CPA imeshuka sana tofauti na zamani,nawajua CPA Holder kibao bado wapo kitaani wanabangaiza tu,miaka ya nyuma ilikuwa ni nadra sana kukuta halmashauri kuna hawa watu ila siku hizi wapo tele wamejaaa.
pia mshaara unategemeana na kampuni inatengenezaje faida hasa huku kwenye private sector ila serikalini unaweza ukapigwa TGS D,PGS 12-14 nk hii ni kwa wanaoanza kazi bila uzoefu