Tulishawambia hakuna vita pale Korea peninsula kwa sasa,watu walicheza geo-politics tricks ili ku sign mikataba ya kuuziana silaha.Fuatilia mkataba kati ya U.S na S.Korea wa kununua tactical nuclear missiles na defenses weapons kutoka U.S.Nyie endeleni kupiga soga tu.Mkuu umeshindwa kuelewa kuwa aliyeufyata ni US...lengo la US ilikuwa ni kusitishwa kwa program ya nyuklia na makombora ya balistiki kwa kumshinikiza NK kuingia mazungumzo au kumshambulia.
Kim kagoma mazungumzo na bila kumumunya maneno kasema mpaka afikie lengo lake la kuimarisha silaha zake za nyuklia na makombora ya balistik. Na akasema wazi lengo lake ni kwa ajili ya kupambana na US kama wakijaribu kumshambulia.
Kim aendelea vema na Program yake ya nyuklia na ndani ya miezi 12 atatangaza kukamilika kwa program yake North Korea may announce completion of nuclear program within a year: South Korea minister
Japan detects radio signals pointing to possible North Korea missile test: source
Kina Saddam na Gadafi walishambuliwa mara moja bila hata ya kuonekana wakijaribisha silaha za nyuklia...Sasa Kim anazionesha wazi na US anabaki kulalama UN, na hakuna cha mshirika wala nani kuinua kidole
Nakubaliana na wewe mkuu.Tulishawambia hakuna vita pale Korea peninsula kwa sasa,watu walicheza geo-politics tricks ili ku sign mikataba ya kuuziana silaha.Fuatilia mkataba kati ya U.S na S.Korea wa kununua tactical nuclear missiles na defenses weapons kutoka U.S.Nyie endeleni kupiga soga tu.
wanajamvi ilikuwa haipiti siku au wiki bila kumzungumzia bwana KIDUKU(dodoki) na majaribio yake...lakini toka wenye dunia yao(USA)kuonyesha dhaili pasipo kumung'unya maneno kuwa sasa umefika wakati wa kushusha north korea kwa bwana DODOKI moto ambao haujawai kuonekana toka dunia imeumbwa....mpaka leo hakuna cha majaribio wala ushuzi wa majaribio,hii inaashiria nini kwa bwana DODOKI kajinyea au anajipanga upya?
Haa haaa haa haaUsa ni sawa na Malaya fulani tu
Kim alishasema anatengeneza silaha kwa ajili ya kujilinda na si kushambulia taifa la watu ila yule kahaba wa dunia anayependa kuchovya kila sehemu ndiyo kinara wa vitisho mbona na yeye kanywea
Moyo sasa umesuuzika, angalau nitapata usingizi leo...Kesho nasubiri Kim atupe specifications za kombora la leo kama kawa.Kim amekusikia na amekujibu! SAA hii kitu (missile ya masafa marefu) kiko hewani kinachanja mbuga na hakijatua bado! Source BBC.
North Korea fires new ballistic missile, South Korea says28 November 2017AsiaNorth Korea missile testsReutersNorth Korea has fired a ballistic missile, South Korean media say, quoting military officials.The Pentagon said it was still assessing the "probable" launch, which took place at approximately 03:30 local time (18:30 GMT).South Korean news agency Yonhap reported that the missile flew eastward from Pyongsong, South Pyongan province.It is not clear how far it went or whether it flew over Japan as other missiles did earlier this year.
Yaani Marekani wamechanganyikiwa maana wamekiona kikiwa kiko masafa tayari hata hawajajua kilipitia wapi kiliporushwa!