Kim Kardashian balaa tupu

Kim Kardashian balaa tupu

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
13,871
Reaction score
23,488

0811-kim-kardashian-instagram-3.jpg



​
 
Yaani eti maziwa ndio anaficha lakini kwingine kwake ni kama uso.
 
family yao ina laana..... cheki dingi ake kajigeuza kuwa mama

Huyo sio baba yake mzazi. Baba yake mzazi mzee, Robert George Kardashian alikuwa mwanasheria maarufu sana na mwenye heshima kubwa nchini Marekani aliyefariki mwaka 2003.
 
Yaani huyu dada copy right shape na miss chagga Kasoro weupe tu...miss chagga rangi ni chokoleti
 
Last edited by a moderator:
Mtangazaji kaondoka kwenye show kwa kuchoshwa na stories za Kardashian.

 
Last edited by a moderator:
Mke wa mtu eti huyu! Only in America mume kukubali mkewe apige picha ya uchi na kutundika online dunia ione.
 
The most overrated woman in the history.

'My girl's a supastar from her own movie'. SMDH!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom