Hute JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,537 Reaction score 6,483 Aug 12, 2015 #21 huyo mbwa na baba yake wamelaaniwa, na aliyewalaani amekufa.
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,404 Reaction score 29,811 Aug 12, 2015 #22 La Brujita said: Mbona ni wa kawaida sana kuliko nilivyokuwa nikisikia watu wakimsifia? Wapo wengi sana wa aina hiyo na hata kumzidi kimboka buguruni. Click to expand... alafu katafuta engo ambayo kajibetua vizuri ndo akapiga selfie! Ya kawaida tu.
La Brujita said: Mbona ni wa kawaida sana kuliko nilivyokuwa nikisikia watu wakimsifia? Wapo wengi sana wa aina hiyo na hata kumzidi kimboka buguruni. Click to expand... alafu katafuta engo ambayo kajibetua vizuri ndo akapiga selfie! Ya kawaida tu.
V vErSatiLe Senior Member Joined Apr 8, 2015 Posts 168 Reaction score 43 Aug 12, 2015 #23 Detective Jeff said: family yao ina laana..... cheki dingi ake kajigeuza kuwa mama Click to expand... dingi yake ya kambo ile sio mzazi
Detective Jeff said: family yao ina laana..... cheki dingi ake kajigeuza kuwa mama Click to expand... dingi yake ya kambo ile sio mzazi
redcarpet JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 236 Reaction score 208 Aug 12, 2015 #24 Kabisa ndugu maana huko tunakoelekea naona nyotanyota
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,955 Reaction score 33,820 Aug 12, 2015 #25 hahahaha,si hadi tujaribu ndo tutajua! zina mkia tena mrefu balaa