Kim Jong-un kidume cha mbeg.....

Kim Jong-un kidume cha mbeg.....

2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
11,361
Reaction score
6,080
Hysterical female soldiers surround a smiling Kim Jong-un.

kimjongun1.jpg


510cacc0-cc97-11e3-af81-bdfc53078a6c_RTX11O9B.jpg

North Korean wingnut-in-chief Kim Jong-un was mobbed by a horde of hysterical female soldiers who cried tears of joy as he came to inspect their artillery unit near the South Korean border.
The beaming lady killer - who also murders anyone else who defies his iron rule - was swarmed by the uniformed soldiers, all trying to reach out and touch their beloved dictator.
55ec14b0-cc97-11e3-a8f8-b12d8d757f82_RTR37302.jpg

Power is Sweet...
kim anakenua tu ka mjinga flani hivi..chezea ladiess
kumbe ladies wanaogopa kunyongwa
http://nypost.com/2014/04/24/kim-jong-un-mobbed-by-crying-female-soldiers/
5cc8d340-cc97-11e3-af81-bdfc53078a6c_AP26404610974.jpg

650e70a0-cc97-11e3-af81-bdfc53078a6c_RTR3EQ0R.jpg
 
Nahisi Kim jong wanachi wake wanamuona kama Mungu wao
 
Huyu kiongozi ni dikteta kuna taarifa kuwa z girlfrnd wake amenyongwa....
 
!
!
mazingira masafi mno.....sura za hao wanajeshi wanawake zinaonesha nuru tele,wana maumbo ya kipiganaji hasa...kifupi wako vizuri mno.....rudi kwetu huku,loh?.....sura mbovu, vitambi vya ugali, sura zimepoteza nuru yani.
 
Hizi picha zinanikumbusha mbali sana.. Anyway, North Korea ni another planet.. Kila picha hapo juu ina maana yake na kusudi lake.. na ili kujua behind the scene ya hizo picha..inabidi uwe umeishi nao hao jamaa kule Norh Korea..
 
Huyu kiongozi ni dikteta kuna taarifa kuwa z girlfrnd wake amenyongwa....

NIKWELI KABISA ALIMUU SOMA HAPA



http://www.telegraph.co.uk/news/worldnews/asia/northkorea/10272953/Kim-Jong-uns-ex-lover-executed-by-firing-squad.html


By Julian Ryall, Tokyo
10:09AM BST 29 Aug 2013
1321 Comments
The reports in South Korea's Chosun
Ilbo newspaper indicate that Hyon, a
singer with the Unhasu Orchestra,
was among those arrested on August
17 for violating domestic laws on
pornography.
Hyon Song-wol starred in the video
for her 2005 hit 'A Girl In The
Saddle Of A Steed'
All 12 were machine-gunned three
days later, with other members of
North Korea's most famous pop
groups and their immediate families
forced to watch. The onlookers were
then sent to prison camps, victims of
the regime's assumption of guilt by
association, the reports stated.
“They were executed with machine
guns while the key members of the
Unhasu Orchestra, Wangjaesan Light
Band and Moranbong Band as well
as the families of the victims looked
on,” said a Chinese source reported
in the newspaper.
Hyon's band was responsible for a
string of patriotic hits in North
Korea, including "Footsteps of
Soldiers," "I Love Pyongyang," "She is
a Discharged Soldier" and "We are
Troops of the Party." Her popularity
reportedly peaked in 2005 with the
song "Excellent Horse-Like Lady."
 
North Korea maisha magumu sana, hata tusiwasifie.
 
Kweli Maisha ni magumu sana Korea Kaskazini
Hawa ndio waliojenga Jengo la Chimwaga kule Dodoma
Jinsi walivyochoka huwezi amini mpaka wakasingizia ni Wafungwa
Lakini Mabosi wao walipewa nyumba Area C Dodoma na Dreva wao alikuwa mjomba wangu alinisimulia Chakula chao, Du ni matatizo hakina tofauti na cha kanda ya Kati, na walizidisha kilevi na samaki walikaushwa
sasa ukisema wana maisha mazuri kuliko sisi nI NO
ukisema ni ngozi mororo hasa kwa hao wasichana ni No
ukisema ni wanaridhisha labda mnaofuata ngozi ya kitimoto kwa hao kina Dada
kwa wanaume ni kibamia hivyo ni NO
UKAKAMAVU GANI HUO huyo wa kwanza mguu hautupi kabisa,
68b66a00-cc97-11e3-a8f8-b12d8d757f82_AP450934619943.jpg
 
Kweli Maisha ni magumu sana Korea Kaskazini
Hawa ndio waliojenga Jengo la Chimwaga kule Dodoma
Jinsi walivyochoka huwezi amini mpaka wakasingizia ni Wafungwa
Lakini Mabosi wao walipewa nyumba Area C Dodoma na Dreva wao alikuwa mjomba wangu alinisimulia Chakula chao, Du ni matatizo hakina tofauti na cha kanda ya Kati, na walizidisha kilevi na samaki walikaushwa
sasa ukisema wana maisha mazuri kuliko sisi nI NO
ukisema ni ngozi mororo hasa kwa hao wasichana ni No
ukisema ni wanaridhisha labda mnaofuata ngozi ya kitimoto kwa hao kina Dada
kwa wanaume ni kibamia hivyo ni NO
UKAKAMAVU GANI HUO huyo wa kwanza mguu hautupi kabisa,
68b66a00-cc97-11e3-a8f8-b12d8d757f82_AP450934619943.jpg
kweli Malkia wa Sheba, hawa naskia wamechoka sana, tena ukichanganya na vikwazo ni balaa. Wenye hali nzuri ni Korea ya Kusini, Sasa tangu lini kim anapigiwa kura nchi nzima na wote wanampa na hakuna aliyepiga kura tofauti, tangu lini watu wakanyoa mnyoo unaofanana nchi nzima, na siku hizi sijamwona na yule mrembo wake. Huwa namhurumia sana Dennis Rodman, kwani kuna wakati napata hofu anaweza akanyongwa na kim, kama alivyomuua mjomba wake.
Hawa jamaa naskia ni nguvu za kijeshi tu ila mambo mengine haliyao ni mbaya sana.
 
Back
Top Bottom