Kim Jong-Un amuwekea dada yake ulinzi mkali ktk ziara ya South Korea

I like Kim Jong-Un and North Korea.

By the way, the union government its very closer.

Live longer Kim Jong-Un and North Korea.
 
I like Kim Jong-Un and North Korea.

By the way, the union government its very closer.

Live longer Kim Jong-Un and North Korea.
Sawa mkuu ila yule kiranja wa dunia atakubali maana figisu figisu zake balaa
 
Kuna watu sijui hua wanawaza nini tu mkuu? eti kwenye ulinzi mtu anaongelea kupigwa picha sasa sijui picha inamadhara gani

Davet
Kijana picha ni kitu kingine kabisa kwenye ulinzi wa VIP.

Kama unataka kujua hilo muulize Mzee Rais Mstaafu, Mugabe na Walinzi wake siku wakiwa kwenye viunga vya London, UK.

Kwa hiyo, ukiona wamepigwa picha kama hizo tambua tayari kuwa North Korea na Serikali ya Kim Jong-Un wako mbele kwenye hiyo technology haina madhara tena kwao.

Naomba niishie hapo.
 
kwa sasa ndio anaongoza ku-trend kwenye mtandao yote mikubwa ya kijamii duniani.kila sehemu anajadiliwa.

ila ni ka-cute. wallah kim ana dada mrembo sana.kanaonekana kapo so innocent.

huyu demu wakimtumia vizuri katika issues za kidiplomasia ya kimataifa anaweza akafuta image mbaya ya north korea duniani iliyotengenezwa na propanganda za wamerekani.
kabisaa
 
Davet
Kijana picha ni kitu kingine kabisa kwenye ulinzi wa VIP.

Kama unataka kujua hilo muulize Mzee Rais Mstaafu, Mugabe na Walinzi wake siku wakiwa kwenye viunga vya London, UK.

Kwa hiyo, ukiona wamepigwa picha kama hizo tambua tayari kuwa North Korea na Serikali ya Kim Jong-Un wako mbele kwenye hiyo technology haina madhara tena kwao.

Naomba niishie hapo.
Poa nashukuru kwa elimu mkuu
 
We unaongea nini huyo dada ndio think tank ya kaka yake kila siku anajificha nyuma ya nguzo kumuelekeza kaka yake cha kufanya
Mkuu we acha kuna watu wanacomment tu ila hawajasoma historia ya huyu..... Ni noma sana uyu mtu
 
Back
Top Bottom