Kim Jong-Un amuwekea dada yake ulinzi mkali ktk ziara ya South Korea

mkuu NK hajawa poyoyo kiasi hicho na hilo sidhani kama litakuja kujiri ..Russia ndio remote ya NK na USA ndio remote ya SK ..so wahisi urusi wanaweza kuwa wajinga kiasi hcho mpka wafikie hatua yakuliacha koloni lao likafie mikononi mwa hasimu wao ..kinachotaka kutokea hapo nihao ndugu wawwili wakicorea kuonyesha kuchoka kutawaliwa kifikra .wakati wanaamini kuwa endapo wakiungana watakuwa mbali mnoo kiuchumi ..wajua hata hayo maugomvi yao yametengenezwa kwaajili ya maslahi ya hayo mabepari mawili ..USA na Russia

Upo sahih sana kutonaka na fikra zangu nawaza kama uwazavyo
Nimesoma habar bbc na CGTN nimeona VP prince wa US anajisemesha kuwa US ROK na Japan hawawez kuungana na NK had atakapo denuclearize na kudistruct ICBM zake, kitu ambacho NK hawez kukifanya hata iwe vip,

Wakat rais wa SK kwake anaona hii ni fulsa baada ya kupokea barua iliyo andikwa kwa mkono na kim rais wa NK kumtaka wakutane haraka iwezekanavyo ila anaogopa bwana ake US maana kapinga hilo. Ila naamin watakutana tuu, jiran awez kuwa na kuvu ya kutenganisha ndugu kwa mchango wa ugali
Siku ya siku watakula vya US na wao kataendeleza undugu wao.

US anaona kwake ni hatar sana sana maana kama NK itapata suport ya kiuchum na kideplomacia kutoka kwa ndugu zake ataboresha zaid makombara yake na kuwa mwisho wa mikwara ya US kwa NK. Yan naona mambo ni magum mmno maana US anajua ametengeneza damage kias gan kwa mataifa yote matatu yan Japan NK na SK, na NK akiwa ndio muhanga mkubwa wa sasa na chuki kubwa zid ya US.

Lakin pia kama unakumbuka Prime Minister wa Japan alitembelea ujeruman kitu ambacho US akukitaka ila alifanya hivyo. Historia inamuukumu sana US na inampa uwoga juu ya kesho yake.
Ndio maana alikubali kuilinda japan kwa gharama yake ili japan asijihusishe na siraha za maangamizi maana akiingia huko ni hatar zaid dunian.
 
ewaaaa umedadavua vyema kabisa mkuu na sasa hapo ndio linakuja lile jibu lakuwa ile vita ya USA NA NK HAIWEZI KUWAPO KWASABBU WALE AMBAO MAREKANI ALIKUWA ANAJARIBU KUJIFNYA KUWA DEFEND WAMEANZA KUHITAJI KUPATANA NA NDUGU YAO..

NK .WANAAKILI MNOO MKUU WAJUA HII SAFARI YA KUUNGANA NA NDUGU ZAO WALIKUWA WANAIOTA MUDA MREFU MNOO LAKINI VIRUS WA HUO MUUNGANO NI USA ..SO WAO BAADA YA KULITAMBUA HILO WAKAAMUA KUJIDHATITI KATIKA TECH..YAO MPKA KFIKIA HATUA YAKUWA NA NGUVU YA KIJESHI NA KUTENGENEZA HAYO MABOMU YA ICBM..LENHO KUU LILIKUWA NIKUWA NA MABOMU YA KINYUKILIA ILI WAWE TISHIO KWA AMERCA ..PINDI WATAKAPO HITAJI KUUNGANA NA NDUGU ZAO WAAMERCA WAUFYATE MKIA WASIPELEKE CHOKOCHOKO
.MMAREKANI ALIKUWA ANAIJUA MIPANGO YA NK KUHUSU KUUNGANA NA NDUGU ZAO NA KWAKUWA ALIKUWA ANAWATUMIA SK KWAAJILI YA MANUFAA YAKE NDIO MAANA ALIKUWA ANATUMIA NGUVU KUBWA MNOO KUPINGA NK KUZINDUA MABOMU YA NYUKILIA .
MAANA ALIJUA FIKA KUWA HAWA WATU WATAKUJA KUWA KITU KIMOJA
.
NAONA URUSI NA CHINA WATAKUWA WAMETOA BARAKA ZAO KTK HILI NDIO MAANA TWAONA WAPO KIMYA ..
 
Hizi korea mbili siyo leo tu zinafanya juhudi ya kuwa pamoja, toka ebzi za babu yake kim jong un kulifanyika majadiliano mengi tu ya kuungana sema hawaaminiani japo wana ndoto kuwa ipo aiku korea itakuwa moja, huyu raisi wa sasa ni mtu mwenye asili ya korea kaskazini kabisa na anapendelea mashauriano zaidi na korea kaskazini sema marekani ndo wanawazingua hawa
 
Hata wakiungana kesho North na South Korea lkn ni North ndio itakayomezwa na ukomunist ndio utakuwa umekufa hivyo na kwenye mfumo wa kidemokrasia watu kama akina Kim Jong Un na huyo dadake kamwe hawawezi ku-survive, ndio utakuwa mwisho wao kisiasa.
 
Pyongyang imejengeka Sana karibu Sawa tuu na Seoul, subway ipo tangu miaka ya 80 Hali kadhalika flyovers. Huyu Dada Hana kikubwa cha kushangaa kwa seoul. Ila akifika Gangnam, na Gwangwamun square atagundua siasa ya ujamaa imepitwa Sana na wakati.
 
Ina maana hana hata mpenzi!?
angalia tu hata vaa yake. mavazi hata hayahamasishi mambo flani, mini namuona kama bibi yangu tu. Hata hivyo yeye ni binadamu kama wengine, ukifika mda wa mapenzi ni mapenzi
 
Nimeona watu wameongea ngoja na mimi nijaze nyama katika uzi huu.
Hawa NK wako vizuri sana na tena wanauwezo mkubwa mno.USA anaogopa pale NK itakapokuwa kiuchumi. Maana hawa jamaa wamewekeza sana kwenye elimu kwa watoto wao.

Kim Yo-jong Amesoma Switzerland pamoja na kaka yake. Hili jambo inawasha taa kwamba kuna wa NK wengi tu duniani wanasoma na wamepelekwa kwa mission ya taifa lao. Na huyu dada anatakuwa ndiye master minder kwa sasa wa NK. NK kwa sasa inabadilika sana tena kwa kasi kubwa. Mambo yanaenda kwa kasi tofauti na matarajio ya wengi.

Moon Jae-in Huyu ni rais wa sasa wa SK. Historia yake ni ya kushangaza sana. Wazazi wake ni wakimbizi kutoka NK. Kwahiyo kwa jambo hilo yupo na uhusiano wa karibu na NK. Sasa ukifuatilia uhusiano wao unaweza kukuta sasa hivi SK ipo chini ya himaya ya NK. Unaweza kukuta utawala wote ulipo ndani ya SK ni spy wa kutoka NK. Sasa hii inaonesha kwamba huenda kwa sasa SK ipo chini ya NK kisiasa, ni swala la muda tu kuanzakuona mambo yanabadilika.

North Korea defectors Hawa ni watu wanaodai kukimbia kutoka kwenye utawala wa manyanyaso ya NK. Lakini hawa watu wameanza kuonekana katika uso wa dunia kuwa kama ni waongo, kutokana na interviews zao kwenye vyombo vya habari kubadilika badilika. Wamekuwa wakiongea na kutoa taarifa zenye ukakasi.
Ukimfuatilia
Shin Dong-hyuk na kitabu chake alichokiandika cha escape camp 14, kinazungumzia namna alivyotoroka kutoka kwenye kifungo alichokuwa amefungwa Camp 14. Baada UN walimuita mara kadha wa kadha na kumuhoji baadaye wakamwita "single strongest voice" amekaa USA california na kuwa adopted huko. Lakini imebainika kuwa jamaa alikuwa anaongea uongo tu. Unaweza kufuatilia issue zake.

Vilevile ukifuatilia masuala ya "Park Yeon-mi" huyu naye ni mmoja defectors wa NK. Story zake zinabadilika mara kwa mara. Hii inafanya ulimwengu uzidi kuchanganyikiwa na kushindwa kushika lipi na kuacha lipi. Wengine wanasema anatumiwa na USA au SK kwa mission zao. Lakini kwanini sasa wamtumie mtu halafu asahau alichoongea kule nyuma? Hapa utagundua NK wanatumia akili nyingi sana.

Jambo jingine kuhusu defectors ni kwamba wamepata followers wengi sana kwenye mitandao ya kijamii huko SK. Cha ajabu ni kwamba wanasema huko NK hakuna internet lakini kwa muda mfupi tu wanakuwa wameweza kutumia mitandao ya kijamii.

Defectors returning to NK Sasa jambo hili linaongeza msisimko duniani. Wimbi kubwa la wale waliokibia toka NK wanarudi nyumbani. Wengine wanarudi kiajabu ajabu na wengine wanatoa taarifa kwenye vyombo vya habari. Lakini kwa upande mwingine wengine wanakuwa wameshachukua mikopo mikubwa ya bank na kupotea ghafla.
Taarifa moja wapo ni hii hapa: North Korean Defectors Return Home, Help Police Make Arrests
Na ukifuatilia taarifa za Lim Ji-hyun, huyu alikuja kuwa celebrity SK na kupata followers wengi kwenye mitandao ya kijamii. Na kisha kuanzisha club kwenye mitandao, kupata nafasi kwenye vyombo vya habari. Lakini baadae alipotea na kuja kuonekana kwenye vyombo vya NK akihojiwa na kueleza maisha ya SK ni kama jehanam. Defector to South Korea Who Became a Celebrity Resurfaces in the North

Kwa maelezo hayo machache nawaomba msisahau kubonyeza kitufe cha like. Maana hizi taarifa zinaweza kuwafumbua watu wengi macho namna gani NK ilivyo na uwezo.

umetisha sana comrade kwa kutuletea tuliyokuwa hatuyajui kuhusu wa-NK walio nje ya taifa lao.
bravo.
 
Back
Top Bottom