The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 6,191
- 13,616
Sikufahamu ili kwasababu hapa nina stock ya kutosha nimehifadhi toka 2016 uncle Magu alipoanza kuzingua. Basi Maza atawale tu mileleJaman Si ndo wawekezaji wenyewe hao washaanza kuingia nchini au hamkumuelewa Mama Samia?, serikali yenyewe ishasema inawatengenezea mazingira rafiki wawekezaji kutoka nje waje kuwekeza nchini, mi hakuna hata kilichonishtua hapo.
Kazi iendelee, Ccm mbele kwa mbele
Sikufahamu ili kwasababu hapa nina stock ya kutosha nimehifadhi toka 2016 uncle Magu alipoanza kuzingua. Basi Maza atawale tu milele
jwa hiyo nadawa yalipatikana ki urahisi mtaaniHao kipindi cha Magu walikuwa hawakamatwi, mama kaanza kazi kwa kishindo hakuna jiwe litaacha kuguswa
Legacy ya nini wewe zumbukuku?Hata husipo ona mimi nimeona,we endelea na akili za kushikiwa na chuki zako ila still legacy ya Magu ktk hili halifutiki.
Asifuye mvua imemnyeshea naona inajipigia promo , bahati mbaya huu ni mwezi mtukufu watu hawana time na hiyo biashara yako.Nyie si ndio wale hamjielewi kama sigara kali aka oya oya ,mnawashwa mbele na nyuma na akili zenu za kushikiwa.
Wewe ni mushuti kwenu ni rwandaukitukana na kukejeli unapata nafuu sana mkuu? mambo mengine usipoyaelewa unayaacha tu yapite na muda ambao unautumia kuyaangalia unautumia kwa kazi nyingine!
Polisi hapo ungekuta hewaWalio kamata ni wanajeshi na sio polisi nikukumbushe tu
Hahah kuna wadau wanasema kimbunga jobo kimewasogeza upande wa bongo ila wale target yao ilikuwa msumbijiHii Heroin haina uhusiano na kimbunga Jobo?
Sijui wewe sigara kali.Legacy ya nini wewe zumbukuku?
Asifuye mvua imemnyeshea naona inajipigia promo , bahati mbaya huu ni mwezi mtukufu watu hawana time na hiyo biashara yako.
Wazee inatosha maana ligi yenu si mchezoSawa sigara kali.
wewe ni teja?jwa hiyo nadawa yalipatikana ki urahisi mtaani
ndiowewe ni teja?
Liliisha hivyo hivyo.Hili suala liliishaje ishaje???
Basi kazi iendeleeLiliisha hivyo hivyo.