Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,953 Reaction score 56,083 Oct 7, 2023 #41 Hatari sana mkuu
K kamarah JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 1,224 Reaction score 2,441 Oct 7, 2023 #42 AGITATOR said: Hizo Sai Baba kwenye ajali lazima konda au dereva mmoja wao au wote wakate moto. Click to expand... Kwanini inatokea hivyo mkuu
AGITATOR said: Hizo Sai Baba kwenye ajali lazima konda au dereva mmoja wao au wote wakate moto. Click to expand... Kwanini inatokea hivyo mkuu
Pantomath JF-Expert Member Joined Jan 4, 2019 Posts 842 Reaction score 3,487 Oct 7, 2023 #43 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daaa kuna mtu kavurugwa humu.... Huyu atakua mganga wa mabasi ya Shambalai.. BTW watu wanaoponda safari za usiku, ni kwakua hawana huo ulazima wa kusafiri usiku... Kuna watu ndugu zangu kusafiri mchana ni kupoteza muda.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daaa kuna mtu kavurugwa humu.... Huyu atakua mganga wa mabasi ya Shambalai.. BTW watu wanaoponda safari za usiku, ni kwakua hawana huo ulazima wa kusafiri usiku... Kuna watu ndugu zangu kusafiri mchana ni kupoteza muda.
darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,263 Reaction score 18,316 Oct 7, 2023 #44 Saibaba again!
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 21,812 Reaction score 44,706 Oct 7, 2023 #45 Usafiri wa Bus bado ni changamoto sana hapa kwetu ndugu yako akifika salama ni kushukuru Mungu...
W WhoWeBe JF-Expert Member Joined Dec 18, 2022 Posts 2,297 Reaction score 4,292 Oct 7, 2023 #46 peno hasegawa said: Nimeandika tu. Kuna ajali imetokea Kila leo na watu zaidi ya 7 wamefariki Dunia. LATRA wako Click to expand... Huu mwandiko kama wa Petro Makunge
peno hasegawa said: Nimeandika tu. Kuna ajali imetokea Kila leo na watu zaidi ya 7 wamefariki Dunia. LATRA wako Click to expand... Huu mwandiko kama wa Petro Makunge