Usidanganyike na km. Ila pia ni vyema kuwa makini. Mimi ninagari imetengenezwa 2000 dashboard inasoma kwa miles ambayo ni 140 sawa na km 190+ . Lakini kufikia 180 ni dakika tu. Hadi leo sijafungua engine na ukiwasha unaona mvuke nyuma. Muda huu lina km190,000 +. Hili mara nyingi natumia mimi mwenyewe ila kuna niliyonunua 2010 ikiwa na 1000 km ni balaa. Kutafuta 140 ni shughuli maana madereva wameshanya yao na muda huu lina km120+