Upolisi ni kazi nisiyoipenda, ila nawapenda polisi.
Karne hii mama mjamzito ambaye hali yake inaonekana wazi kabisa anafanyiwa kitendo cha aibu namna hiyo!!! where are we heading to!!?
Hahaaa no, namaanisha nawapenda polisi kama wazawa wenzetu wa Tanzania, lakini siiipendi kazi yao.Utakuwa unampenda polisi(ndgu yako) mkuu sio bure.
Hahaaa no, namaanisha nawapenda polisi kama wazawa wenzetu wa Tanzania, lakini siiipendi kazi yao.
Mwili unasisimka kwa hasira!! MOTO wa jehanamu utakamchoma huyo askari wa zamu, bado unachochewambapo akiwa mahabusu licha ya kulalamika kuumwa uchungu,askari wa zamu alimpuuza hadi alipoona amezidiwa na kumtoa nje alipojifungulia kwenye nyasi bila msaada
Polisi sio cheo, ni wadhifa,Ungesema watanzania mkuu, Polisi ni cheo ndio maana ukivaa jezi watasema "Raia amejifanya Polisi"
Heading to JerusalemKarne hii mama mjamzito ambaye hali yake inaonekana wazi kabisa anafanyiwa kitendo cha aibu namna hiyo!!! where are we heading to!!?
Malaika Israel ana tawi lake kwa hawa jamaaAISEEEE "" ukitaka kujijua kuwa hauna dhambi ....basi fuatilia matendo ya police wa Tanzania....sasa angekufa hapo nje "" wange waambia nini watanzania ""....... Aiseee rasmi leo nimeona uzito wa ile kampeni ya kusaidia mama mjamzito inayofanywa na wizara ya AFYA ....."" police wa Tanzania "" ni wachawi "".....
Polisi sio cheo, ni wadhifa,
Pindi wanapokuwa wakitekeleza majukumu yao, kuna baadhi ya mambo hawayafanyi sahihi, wanaonea sana RAIA wasio na hatia au kukuza mambo madogo, pia wanabambikia kesi watu.
Nb: polisi ni polisi tu hana urafiki ni wanaa sana.