Tatizo bei iliposhuka watu wengi wamenunua mafuta kwenye madumu na kuhufadhi nyumbani
Hakuna wavuta sigara huko kwenye majumba yao?
kuna shida gani kwa muuzaji watu kununua mafuta kwa wingi bei inaposhuka?Tatizo bei iliposhuka watu wengi wamenunua mafuta kwenye madumu na kuhufadhi nyumbani
kuna shida gani kwa muuzaji watu kununua mafuta kwa wingi bei inaposhuka?
Umeelewa ulichoandika na ukakijibu?Mafuta sio km dagaa