Kilombero: Mafuta ya Petrol na dizel yapotea

Magane

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
202
57
Mafuta ya petrol na dizel yapotea kilombero siku ya nne sasa hadi ifakara. Walanguzi watulangua shs 3,000/ kwa lita ya chupa za barabarani. Ewura please lioneni tatizo hili .
 
ukiona hivyo ujue tarehe 1(jumatano) mafuta yanapanda bei hivyo wauzaji wanataka faida kubwa
 
Sh*thole country, yani mafuta yakipanda bei hawafichi ila sasa wanasubiria yakishuka tu hayapatikani. Serikali futia leseni wahuni wote wanaoficha mafuta.

Kwenye soko la dunia bei imeporomoka sana kwanini wao bado wanataka wauze bei ya juu. Fvk
 
Tatizo bei iliposhuka watu wengi wamenunua mafuta kwenye madumu na kuhufadhi nyumbani
 
Expected na ukute yanapanda kwa 300 au 400 lazima watu wapige mahela
 
Back
Top Bottom