Mtu mmoja anayesemekana kuwa ni gaidi amekamatwa tena hapa kilombero maeneo ya sumbugulu, mtu huyo ambaye anaonekana kutojua kiswahili,ila anaongea kiarabu.
Inasemekana alikuwa akiishi huko mlimani na aliamua kushuka baada ya njaa kuwa kali na kuanza kuomba chakula ktk eneo ilo la sumbugulu.
Hali ya Upelelezi Wa Kitaifa imeongezeka hapa Ruaha Kilombero Kufuatia Matukio Hayo.
Mpinzani wa uislam kazini
Wananikumbusha wale wa Mtwara waliokutwa na kiroba cha unga, cd za Rambo na kijipanga! RPC akatangaza breaking newz.
Mpaka sasa hawajafikishwa Mahakamani!
Hapo uislam umeingiaje tena.
Magaidi wana watetezi wengi sana mitandaoni.Wanatetewa mitandaoni ili waendelee kujipanga.Kwa Tanzania watapata taabu sana maana Jeshi letu lipo tayari kuuangusha hata mlima Kilimanjaro ili kumchomoa Gaidi mmoja aliyekimbilia huko.
Napita tyu 🏃🏃🏃🏃🏃
Mpinzani wa uislam kazini
Acha ugaidi.
Hata mimi nimeshangaa, Gaidi anasikia njaa wakati Allah(S.W.A) huwa anawalisha wakiwa wanampigania