KILOLO: DC Guninita amweka Lock up Mwenyekiti wa Kijiji bila sababu!

Ni mtoto wa John Guninita mUVCCM wa kale? Daaah hivi vyeo vya kuwekana...
Mtoto wa John. Nakumbuka John alihama CCM kwenda chadema baada ya kutemwa ukuu wa wilaya na makamu mwenyekiti wa CCM wakati huo mzee Malecela kudai kuwa John alidanganya kuhusu elimu yake (typical makonda case). Akarudi tena CCM hadi Lowasa alipojiunga chadema na John kuungana naye kwa mara ya pili huko chadema.
 
Hivyo basi inamaanisha nae ana tabia za "milima ya himalaya" kwenye siasa zilizolaaniwa Baba wa Taifa.
 
Back
Top Bottom