Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Huyu ni Katibu wa Chadema kata ya kiloleni Tabora manispaa akiwa amelazwa katika hospital ya rufaa Tabora baada ya kupewa kipigo kikali kutoka kwa maafisa wa jeshi la Polisi, ambao walimkamata tangu tarehe 18.10.2018 na kumshikilia bila kumwambia kosa lake na leo amekuwa hospital