Kilo 1 ya sukari imeshafikia Tsh. 4000

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,999
8,391
Nawakumbusha tu kwa sasa kilo ya sukari ni Tsh. 4,000. Hii ni hatari.

Amini nakwambia 2024 kilo ya sukari itafikia 4500 hadi 5000. Then unawasha TV unasikia sijui kuupiga mwingi, sijui nini ili mradi ujinga na upumbavu!

Mungu atunusuru.
 
Back
Top Bottom