Killi Music Awards

Beka title anastahili kuwepo jamaa anajua sana, labda kwa hao wengine. Too bad wamemuacha Mo music

Beka title sio chipukizi ndo walipochemka hapo sidhani kama umemjua beka title mwaka jana
 
Teh Teh nitafatilia ili nilete details kamili na picha ....ana ziita tunzo za familia!hawa n!dio wasanii wasukuma wa ajabu sana..huyu H baba bila shaka ndio kampa ushauri More music ...huyu kijana nina hakika ndio kapotea kwenye soko la music..hivi anafikiri ni lazima yeye apate tunzo au awe nominated...? Sijuti kutompendekeza hata kipengele kimoja...
 
Hahahahaaa achana nao wajinga hao.Hakuna mafanikio yanayokuja kama upepo bila jitihada na uvumilivu pia.

Mimi wala sikuhangaika kupendekeza maana nilijua Kiba atapendekezwa tu.
 
Beka title sio chipukizi ndo walipochemka hapo sidhani kama umemjua beka title mwaka jana

Beka Tittle ni wa sikunyingi ila alikuwa hajatoka wengi hawakuwa wanamfaham, mwakajana ndo atleast ametoka so kumuweka kwenye upcoming ni sio mbaya
 
Huyo H-BABA stress za mziki zishamchanganya bado kujiunga na mamboyetu yale, nilisikiaga akihojiwa na Millard Ayo kuhusu hizo tuzo za familia doh. Halafu kuna kipindi alikuwa anajitapa kuanzisha biashara ya peremende zitazokuwa na jina lake sijui aliishia wapi
 
Ni kwel mkuu inaonekana dogo amepata kiburi na kijiweka nafasi flani ya juu kua ameshamaliza kazi.

Narudia tena mshkaji anasubiri kwa Baraka Da Prince ata hyo tuzo ingewezekana asingeichukua kama wenzie wanavyomwaminisha huko aliko.
 
Ila by frankly speaking! Huyu dogo mo-music kazingua sana japo nilikuwa namtetea lakini siwez kupingana na ukweli, suala hili litamcost sana hapo badaye alitakiwa awe mvumilivu kwani tuzo kitu gani bwana, yeye angetulia kimya tu kama kaka yake Mavoko.
 
Ni kwel mkuu inaonekana dogo amepata kiburi na kijiweka nafasi flani ya juu kua ameshamaliza kazi.

Narudia tena mshkaji anasubiri kwa Baraka Da Prince ata hyo tuzo ingewezekana asingeichukua kama wenzie wanavyomwaminisha huko aliko.

Huyu hawezi mfikia baraka Da prince kabisa! Baraka ana hit songs zaidi ya moja...yeye wimbo mmoja ana leta kiburi na pale alipo wekwa hawezi kushinda kamwe....
 
#nifah yamoto band nawapenda but nasikitika hata wangepata kwingi sidhani kama wangeshinda as kwenye maadil ingeweza kuwa ishu sana.

Kwa sasa inabidi wawe makin sn na content ya nyimbo zao
 
Tupunguze kulalamika. Anza kumpigia kura unaemkumbali ili ashinde, ili usije kulalama kwa nini kakosa. Hayo majina yanatokana na maoni ya wananchi.
 
#nifah yamoto band nawapenda but nasikitika hata wangepata kwingi sidhani kama wangeshinda as kwenye maadil ingeweza kuwa ishu sana.

Kwa sasa inabidi wawe makin sn na content ya nyimbo zao

Ni kweli my dear, na naona hiki ndicho kilichowafanya wakose nominations nyingi sababu ya nyimbo zao za matusi.
Kuna kipindi tumewahi kulalamika hapa jamvini tukaonekana wabaya, nikaambiwa nina figisu figisu...
Haya sasa, yako wapi?
cc: el nino
 
Last edited by a moderator:

Woyoooooooo.....
Nitapiga kura mpaka nichanganyikiwe mamie kwa hilo halina ubishiiiiiii
 
Woyoooooooo.....
Nitapiga kura mpaka nichanganyikiwe mamie kwa hilo halina ubishiiiiiii

Poa poa,nakuaminia.Ila sasa hivi uwe unapiga na kule kwa tuzo za watu mamy.
 
Ni kweli my dear, na naona hiki ndicho kilichowafanya wakose nominations nyingi sababu ya nyimbo zao za matusi.
Kuna kipindi tumewahi kulalamika hapa jamvini tukaonekana wabaya, nikaambiwa nina figisu figisu...
Haya sasa, yako wapi?
cc: el nino

Hahaaa polee

Yani hata mashabik wangewachagua, kwenye majaji wangetolewa. Hii ilimpataga snura.
 
Last edited by a moderator:
Poa poa,nakuaminia.Ila sasa hivi uwe unapiga na kule kwa tuzo za watu mamy.

Ooooooowwwww now i gt you mamiee
Uthijali kabisa yani iyo tarehe ata kazini siendi yaaniiiiiiii nacheza na kupiga kura tuuu.....
Sasa nina wadau wengi ambao hawana smart phone hawajui ata kinachoendelea acha nikawape taarifaaa.....iyo tarehe ikifikaa mambo yawe pouwaaaa
 
Yaani hakuna kitu kinanikera km ule ulazima wa kupigia kategoria zote, agggrrrr

Aaanhaaaa basi hapa ndo nimemuelewa nifah alichokuwa anamaanisha siku ile kuhusu vipengele.

Kwakweli kuna vipengele vingine havinihusu ila ndo vile tunatereza tu!
 
Last edited by a moderator:
Aaanhaaaa basi hapa ndo nimemuelewa nifah alichokuwa anamaanisha siku ile kuhusu vipengele.

Kwakweli kuna vipengele vingine havinihusu ila ndo vile tunatereza tu!

Ile siku nilijua tu hukunielewa nilikua namaanisha nini.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…