Source please..!
Bora atoke Tu, yaani bidii yote sijui katupwa category ya rhumba!
Anaweza kwenda afu atataudanganya moyo utatulia
Hivi kweli Mavoko wamemuacha wakaona Jux ndio anafaa? Duu
Jamani nauliza tu... Hizo tuzo huwa zinaenda sambamba na kiasi cha fedha au ni tuzo tu....
Kuuliza sio ujinga wanajamvi...
Kama mmekuwa mkifatilia vyema huu mchakato tangu umeanzishwa na utaratibu wake wala msinge shangaa mimi kusema hivyo.
Kwa kuwajuza tuu katika hii hatua huwa wananchi ndio hupendekeza watu au wanamuziki kwa kila kipengele husika na baada ya watu kupendekeza hivyo walio pata kura nyingi ndio hubaki kwenye kipengele husika!
Hivyo basi ukiona jina la msanii husika halipo majibu huwa ni mawili..
Kura zake hazikutosha au hakupendekezwa kabisa...hivyo huitaji kuwa judge kulijua hilo jambo! Tatizo watu hawajui utaratibu na wala hawakuwapendekeza watu wao lakini ndio walalamikaji wa kwanza.
jiulize beka tittle hapo
Wewe niamini tu kama unavyoamini benki
Ha ha ha umeua Binam!.....
Jamani nauliza tu... Hizo tuzo huwa zinaenda sambamba na kiasi cha fedha au ni tuzo tu....
Kuuliza sio ujinga wanajamvi...
Yaah kuna kuwa na pesa boss..
Mtani upo?
Beka title anastahili kuwepo jamaa anajua sana, labda kwa hao wengine. Too bad wamemuacha Mo music
Hamchoki kuwasingizia Cloudz? Ingekuwa tuzo za Cloudz wangemuweka Jide kwenye vipengele vyote hivyo?
Nimetoa maoni yangu kama mtu neutral nisiye na ushabiki mandazi, nathamini mchango mkubwa wa clouds media pia kama kuna weaknesses mahali ni lazima tuziguse. Thus ol
huyo Mo Music mshamba kwel anajidai ameshakua star wa kususia vitu wakati bado alfajiri kabisa. Nina uhakika ata angewekwa kwenye hicho kipengele angeburuzwa na Baraka Da Prince coz dogo yupo njema kuliko yeye.
Anawasikiliza XXL wale hawana cha kupoteza.
Asijilinganishe na Dully yule nguli long time kwenye game.
Umeweka mchango wa uongo na uchonganishi na umeulizwa swali la msingi....