Kilio Tanga, bomoa bomoa ya reli!

Kilio Tanga, bomoa bomoa ya reli!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,181
Reaction score
96,271
Nyumba zote kando ya reli hapa Tanga zinabomolewa kupisha reli. Ni kilio kitupu hapa. Zimewekewa X.
Kila mmoja ataguswa!
 
Si mnatishia kuwa nyiye ni wachawi?? Walogeni basi au logeni hiyo rangi inayoweka hizo X badala ya kuwa nyekundu iwe nyeupe mpake chokaa. Nnani aliwaambia mjenge kwenye maeneo ya reli??
Nitamchagua tena JPM akiliamsha tena lile gogo kutoka Tanga hadi Arusha. Usafiri ulikuwa poa na usafirishaji ulikuwa saafiii. Tukasafirisha sementi toka kiwandani hadi Arusha nauli ka bure. Leo!! Kaza baba Magu hadi macho yawatoke pima.
 
Dooh!!! na Tanga watu wamejenga karibu mno na njia ya reli...
 
Si mnatishia kuwa nyiye ni wachawi?? Walogeni basi au logeni hiyo rangi inayoweka hizo X badala ya kuwa nyekundu iwe nyeupe mpake chokaa. Nnani aliwaambia mjenge kwenye maeneo ya reli??
Nitamchagua tena JPM akiliamsha tena lile gogo kutoka Tanga hadi Arusha. Usafiri ulikuwa poa na usafirishaji ulikuwa saafiii. Tukasafirisha sementi toka kiwandani hadi Arusha nauli ka bure. Leo!! Kaza baba Magu hadi macho yawatoke pima.
Kachambe ulale we kipwinto.
 
Back
Top Bottom