Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,111
Hebu wewe unayemlaumu huyo Jamaa kwa kumlaumu rais Hebu toa hoja zako za msingi kwenye hili.... Yaani bomoa bomoa inaathiri mpaka majengo na miradi ya serikali wewe unaunga mkono??? Kwa hiyo serikali ilijenga eneo la reli???Ni wewe ndo kichwani uko patupu kabisa. Unakimbilia kulaumu unaonyesha shuleni ulikuwa unapokea kichapo cha ma-zero.
Shule maarufu ya usagara inakuwa nyundo wewe unaunga mkono?? Ujinga gani huo??