kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
hayaponi, yote yana X
对不起ناغااخحيلتي
takataka kama hizo usijibu, mimi I just ignored the burger!
Naunga mkono asee!ناغااخحيلتي
خ
Na bado waliopo kwenye eneo ambalo bomba la mafuta linapita. No fidia ni mwendo wa tingatinga tu hapa kazi tu. Ukichagua boga penda na ua lake.Nyumba zote kando ya reli hapa Tanga zinabomolewa kupisha reli. Ni kilio kitupu hapa. Zimewekewa X.
Kila mmoja ataguswa!
Ni wewe ndo kichwani uko patupu kabisa. Unakimbilia kulaumu unaonyesha shuleni ulikuwa unapokea kichapo cha ma-zero.Weka picha, ila huyu jamaa kuna tatizo mahali siyo bure.
Wenzetu wanajenga yeye anapambana kubomoa nchi
Wewe ndio hopeless kabisaNi wewe ndo kichwani uko patupu kabisa. Unakimbilia kulaumu unaonyesha shuleni ulikuwa unapokea kichapo cha ma-zero.