mputamaseko JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 1,401 Reaction score 949 Jul 7, 2016 #21 sirbuff said: Hii media ili haidi kuonyesha euro kupitia zbc2 lkn wkawa wanachagua mechi ss hadi leo hawaonyeshi nusu final ya France vs German kw nn na huo uzinduzi wa channel mpya mkasema mtaonyesha mpira leo VP Click to expand... Angalia Tv ww game iko live wacha kukurupuka kama unaoga nje
sirbuff said: Hii media ili haidi kuonyesha euro kupitia zbc2 lkn wkawa wanachagua mechi ss hadi leo hawaonyeshi nusu final ya France vs German kw nn na huo uzinduzi wa channel mpya mkasema mtaonyesha mpira leo VP Click to expand... Angalia Tv ww game iko live wacha kukurupuka kama unaoga nje
ngalelefijo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2012 Posts 4,138 Reaction score 2,827 Jul 7, 2016 #22 AZAM TV wajinga saana.nimepoteza kadi longo longo nyingi.nafikiri wameajiri marketing manager mbumbuu tena mtanzania wa ccm.kazi ki mazoea tuuu
AZAM TV wajinga saana.nimepoteza kadi longo longo nyingi.nafikiri wameajiri marketing manager mbumbuu tena mtanzania wa ccm.kazi ki mazoea tuuu
Inkubu JF-Expert Member Joined Jul 6, 2016 Posts 514 Reaction score 421 Jul 7, 2016 #23 Wanaonyesha mpaka sasa France anaongoza 1-0 na mpira ni HT, ila jana mechi ya Portugal na Wales hawakuonyesha acheni hiyo tabia ya kuchagua mechi.
Wanaonyesha mpaka sasa France anaongoza 1-0 na mpira ni HT, ila jana mechi ya Portugal na Wales hawakuonyesha acheni hiyo tabia ya kuchagua mechi.
K kariankei Senior Member Joined Jun 25, 2016 Posts 162 Reaction score 29 Jul 7, 2016 #24 Muongo wanaonyesha bhanaaaa