mpasta
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 920
- 2,009
sio maneno mazuri ni jukumu la serikali kutengeneza barabara,,by the way mbona lindi mjini na kilwa kuna wabunge wa upinzani-CUF na hakuna mabadiliko yoyote
Mkuu wananchi wa huko hayo wamejitakia wenyewe. Wanaishi miezi miwili tu kila baada ya miaka mitano, wakidanganywa na zawadi za khanga na mia tano tano.