Acha utoto wa Facebook hapa ni jamii forum where we dare to talk openly ,,ELEZA hapa Mada iwe " Jinsi gani walimu wanashiriki wizi wa kura!.. sio unajibu kihuni kihuni kama unaongea na wavuta bangi wenzio,, Jenga hoja kujibu hoja!.. Eti na hawa ndo VIJANA tunao wategemea walete mabadiliko!... I bet huna unachokijua ila unajiveka ujuaji so what? wabongo bana?.