Kilio cha Walimu nchini (mwaka 2021)

Hao walimu,hawaoni miradi inayotekelezwa?
Walimu wangekua hawajui wapi pesa imeelekezwa,wangezidi kumsifu mzee.
SGR na Nyerere dam ni mifano iliyodhahiri.
 
Angalia huyu askofu asikufanye kama mtoto wa Zari, maana kila siku unaleta upuuzi wake JF
 
Mwamakula uandikiwe waraka kama nani?

Askofu wa nani?
 
Aisee Mimi sio mwalimu Ila ni mtumishi idara ya mifugo niliajiriwaga mwaka mwezi may 2014 .

Aisee yaani miaka ya nyuma ilikuepo mtumishi wa ajira mpya atastahili kuthibitishwa kazini mwaka mmoja( probation) then baada ya mwaka wa probation anaka miaka mitatu then anapanda daraja baada ya hapo after every three years mtumishi atastahili kupata promotion Ila alipoingia Mheshimiwa huyu Sheiria ikabadilishwa ajira mpya ni ikapelekwa miaka mitano na wengine mpaka miaka minne ipite.

Lakini hata hivyo hiyo sheria mpya haifanyi kazi kwani mpaka sasa watu tuna miaka 7bila kupanda daraja Kwa yote hayo Mheshimiwa huyu akaongeza makato y bodi kutoka 8% to 15 % yaani ni awamu ngumu kwa watumishi wa low levels
 
Ualimu si laana Mkuu. Wanastahili heshima kubwa sana hawa lakini hii Serikali haramu ambayo haikupewa ridhaa na Watanzania imeamua kuwadharau sana Walimu.
Ualimu ni laana ?
 
Waalimu walisaidia katika wizi wa kura,kwa hiyo acha wakione cha mtemakuni!
 
Ninyi matichya sindiyo mlituletea hawa watu kwa kishindo!! Unless hamjui kusoma na picha hamuoni... Sasahivi kipaumbele ni kujenga miundombinu kwaiyo suala la promotion na nyongeza lisubiri wakati wanaondoka msitupigie makelele!!
 
Kinachofahamika hivi sasa ni kuwa hakuna chama cha wafanyakazi chanye maana tena, taifani kama mengine mengi na yasiyosemwa yalivyopoteza maana.
 
Ni seme kweli hakuna watu wanafiki Kama walimu wa nchi hii ...Kuna msemo unasema KARMA IS A BITCH..
 
Na vipi kuhusu wadogo zetu waliohitimu vyuo tangu mwaka 2015 hawajaajiriwa mpaka wanaanza kuzeeka?
 
Ni seme kweli hakuna watu wanafiki Kama walimu wa nchi hii ...Kuna msemo unasema KARMA IS A BITCH..
😁😁😁😁vipi maandamano ya amani ulitoka au ulikimbilia uvunguni?Kama ulijificha uvunguni ulikua unaogopa
 
Wa walimu wanatia aibu wao muda wote ni kulia lia tu, hivi walilazimishwa kusomea ualimu kama walikua hawaupendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…