KAHIMERIA
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 358
- 424
Habarini wakubwa,
Niende kwenye mada moja kwa moja
Kwanza mtanisamehe kwakuwa Mimi sio mwandishi nzuri.
Mimi ni kijana mnaefanya huduma kwenye taasisi Fulani kubwa tu inayojihusisha na utatuzi wa changamoto za kijamii.
Sasa Kuna changamoto ni kubwa Kwa Sasa Tena Sasa ivi ni janga nikaona ni share na ninyi Ili Kwa pamoja tujifunze kitu.
Hapa nataka niseme na watu ambao Wamenyanyuka kidogo kiuchumi mmesahau wajibu wenu kwenye ndoa zenu.
Ni sawa mna mambo mengi yakufanya lakini msisahau wake zenu kuwapa haki zao tafafhali vilio ni vingi Tena sanaaaaa.
Na pia wake zenu wanajidhalilisha mno na watoto wadogo na watu wasio na SIfa pia.
OMBI LANGU rekebisheni tabia wake zenu wanahaha mno