Kilio cha uchungu baada ya ku do first time na mwanamke

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,475
Reaction score
21,046
Habari wànajamvi,å
Leo hii nina uzi na ninahitaji kujua juu ya hili ambalo nataka kuuliza kwahyo mwenye maoni,uzoefu hata knowledge(ujuzi) juu ya hili nitakuomba to share
Hivi ni kwanini wanawake au mwanamke(sio wote lakini-imewahi tokea kwa niliokuwa nao) analia kwa uchungu sana mara tu baada ya kumaliza ku do kwa mara ya kwanza?
Hii inanifanya nijiulize maswali mengi sana mengine positive mengine negative huwa nambembeleza mwishoni wakati ananyamazanyamaza hua naambulia kuambia I love u. sasa je hiyo hali inatokana au inasababishwa na nini?

Sent from my G-spot
 
Ili akutoboe mfuko vizuri
 
guilty, kujua kuwa ndo hivyo basi, na kukukuhakikishia kuwa anakupenda ndo maana amekubali. but kinachonishangaza, unawezaje kuwa unawananii wengi hivyo? it means we hujaoa, unadonodonoa tu?whyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy???????????????????????????????
 
Siku ya kwanza wanalia siku wakiondoka dharau ndo mana napata shida kukitafsiri kilio chao

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
guilty, kujua kuwa ndo hivyo basi, na kukukuhakikishia kuwa anakupenda ndo maana amekubali. but kinachonishangaza, unawezaje kuwa unawananii wengi hivyo? it means we hujaoa, unadonodonoa tu?whyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy???????????????????????????????
Kwani ww ushawahi kuliaga?plis express it with experience and what u feel!!

Back
Top Bottom